Nilisikia TBC jana wanasema Makamu wa Rais alikuwa Rukwa huko ziarani akafika mahali barabara zikawa mbovu sana ikabidi wamletee helkopta ya polisi asafiri nayo. kwa kuwa yeye ni kiongozi na wao...
ebwana unakumbuka nini juu ya enzi zile za chama kushika hatamu? Ninachokumbuka mimi ni juu ya uwepo wa falsafa ya maendeleo chini ya utekelezaji wa mashirika ya umma. Nowdays mambo yapo tofauti sana!
Wagombea wanaowania ubunge kwa tiketi ya Chadema walio chukua fomu hadi sasa hivi kuwania jimbo la Arumeru mashariki wamefikia sita wakiwa ni wanaume wanne na wanawake wawili. source channel 10.
Sikiliza hii interview
WUWM: Lake Effect - Tuesday February 21, 2012
Lakini namwonea huruma Mwanaidi anajitahidi wee lakini hajui kama on the ground akina BRELA, NAGU na NYALANDU wanafanya kila...
SIKU moja baada ya wanachama wa CCM, Jimbo la Arumeru Mashariki kumpendekeza Sioi Sumari kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo ujao, baadhi ya wanachama wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilayani humo...
RIPOTI ya ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, imeendelea kuivuruga serikali, safari hii Wizara ya Mambo ya Ndani ikisisitiza kuwa Wizara ya Afya ndiyo inayopaswa...
Uchaguzi wa mwaka 2010, TAKUKURU ilihangaika sana na rushwa ya kura ya maoni chama TAWALA, kati ya waathirika ni Mungai na Mwakalebela. Mpaka sasa hakuna kesi hata moja TAKUKURU wameshinda ! Na...
Dunia inasonga . Tumetoka zama za mawe. tukaja zama za chuma , na maendeleo mengie hivi sasa tuo kwenye INFORMATION AGE. Teknolojia ha habari na mawasilino ndiyo muhimili wa ammbo mengi.
Hivi...
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 21/02/2012 // Habari // No comments
MAELEZO VA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS DKT. 0. A. JUMA,
KATIKA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA TANZANIA WALIOKO NCHI ZA NJE...
KWA WALE WAHESHIMIWA MTAKAOKWENDA MJENGONI:
CHONDECHONDE MWENDE MKIJUA KUWA NGUVU YA UMMA INAWASIKILIZA, NA INATARAJIA MTAKWENDA FANYA NA KUTEKELEZA YALE MLOAHIDI HIVYO ITAPELEKEA UMMA UWAPE NGUVU...
KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM...
Naitaji kura zenu kwa huyu mh jamani amenifurahisha speed anazoendlea kupita kilakanisa
na kuwasaidia kwenye ujenzi na mambo mbali mbali zikiwemo shule na mengineyo
ukiwa kama mwana jf kamili get...
Wakuu napenda kujua au tusaidiane kupanga wizara kulingana na umuhimu wake wa Nchi yetu.
Mfano Mara nyingi naona kama na kuna waziri na wizara ya mambo nje inaoenekana ni muhimu sana kuliko...
Mara nyingi huwa tunazungumzia namna ambavyo nchi ya Tanzania inaendeshwa katika utaratibu wenye kutia aibu na fedheha kwa taifa na wananchi wake na inastaajabisha pale unapotafiti aina ya watu...
WanaJF,
Tutakuwa hatutendi haki kama hatutasimama kama Watanzania kutoa pongezi za dhati kabisa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa kusimamia kidete suala la Katiba mpya mpaka sasa...
Bavicha Arusha
Wa kwanza kushoto ni Elirehema Kaaya,katikati ni Godbless Lema,na Kulia ni Wiliam Sarakikya,waliokosa kwenye kura za maoni,kwa sasa wanahaha kurudi CHADEMA,hapa walikuwa kwenye...
Huu ndio uamuzi wa kesi ya Tanesco v. Dowans ambao ulitolewa na Jaji Dk Fauz Twaib nadhani utasaidia kuondoa mkanganyiko ambao ulijitokeza mara baada ya kutolewa. Waandishi na magazeti mengine...
Yaomba NGOs zisitoe elimu ya uraia
Kisa? Zinaegemea vyama vya upinzani
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kuonyesha hofu juu ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki, baada...
GreatThinkers,
Hivi ni nani aliyeingia Bungeni usiku kwenda ktk kiti cha Mh. Spika na kupakaza Unga?
Hivi kwa nini Mtu huyu aendelee kupeta wakati tukio hili linatatanisha?
Wote tunafahamu...