wagombea wa Chadema Arumeru mashariki wafikia sita.

wagombea wa Chadema Arumeru mashariki wafikia sita.

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,486
Wagombea wanaowania ubunge kwa tiketi ya Chadema walio chukua fomu hadi sasa hivi kuwania jimbo la Arumeru mashariki wamefikia sita wakiwa ni wanaume wanne na wanawake wawili. source channel 10.
 
Kwa faida ya wana JF walio nje na upeo wa Channel 10 tafadhali taja majina yao.
 
Ngoja CDM ikakutane na mkono wa Lowassa muone atakavyowanyoosha
 
Akina nani hao majina tafadhali

sawa mkuu. ntajitahidi kuyatafuta niyaweke hapa. nimepata majina ya Rebeca na Anna. mengine ntajitahidi kuyatafuta.
 
sawa mkuu. ntajitahidi kuyatafuta niyaweke hapa. nimepata majina ya Rebeca na Anna. mengine ntajitahidi kuyatafuta.

kwa nini hukusubiri uyapate hayo majina ndo uje?
 
I wish all the best to Joshua i hope ataibuka kidedea huu ni muda wa vijana wazee wamekula sana.
 
Nafasi hiyo apewe mwanamke kama njia ya kuibua vipaji vipya kwa upande wa akina mama
 
cdm ifuate principles kumpata mbunge mpya,EL sio tishio maana hajatujibu kuhusu Richmond.Nepi pia kafulia,kwa ujumla cdm wanapata jimbo mpya.
 
Joshua Nassary Mpambanaji ni vizuri apitishwe😛eace: Huyu atapita kwa asilimia nyingi sana akisimamishwa na Chadema
 
Chadema tusimamie haki za wanyonge kwani ndo tumaini letu daima watanzania tunataka mabadiliko 2015
 
Back
Top Bottom