Beyond politics-2- serikali inasubiri nini kufanya majiribio ya hybrid car

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Dunia inasonga . Tumetoka zama za mawe. tukaja zama za chuma , na maendeleo mengie hivi sasa tuo kwenye INFORMATION AGE. Teknolojia ha habari na mawasilino ndiyo muhimili wa ammbo mengi.

Hivi sasa kwenye teknolojia ya magari wezzetu wameshnza kutengenza nak utumia magri yanayotumi nguvu ya betri. Sijui kama tunaweza kupat takwimu za gharama za mafuta ya magari ya seriiali kwa wiki. Kama sikosei VX nyingi zina mgao wa si pungufu ya lita 200 kwa wiki.

Sina uahkia na Maofisa wa Wizara ya Mazingira na, Wizraya Sayansi na Teknolojia au Wizara ya Ujenzi kama walipoona habari hii kuna kitu iliwajia kichwani amabcho kinaweza kuwa kwa manufaa kwa serikali ya watanzania n watanzania.

Nilitegeemea
  • nisikie Serikali inyokwenda na wakati kuwa mpaka sasa kuwa japo imeagiza na kuamua kununua gari hizi chache kwa majribio kwenye idara na maofisa fulani fulani
  • Niskie mpango wa serikali kuweka shemu za kucharge kwenye wizara chache zilizochaguliwa na vituo kadhaa vya mafuta
Hivi sasa ukisoma mtandao tunaona kuna gari zinaweza kweneda kwa nguvu ybetri hadi hadi umbali wa KM kama 15 . Kwa hiyo ukiweka charge ofisini na nyumbani kwa ofisa basi inawezekana gari kwa siku istumie kabisa hata tone la mafuta ka mtu mbaye hana mzinguko mingi.

Je Mawaziri na maoifsa wetu wakiwa kwenye safari za mjini ufanisi wao unashuk wakitumia gari ndogo?i
21463_10082_large_prius_3.jpg
21464_20402_2011-Ford-Fusion-Hybrid-Front-Side-590x393.jpgKama ningekuwa nina maamuzi basi serikali ingekuwa imehsaanza utumia gari hizi kwa mjaribio katika idara na maiofisa wacahache walichaguliwa kwa majaribio. Tena ningeanza na Wizara ya Mazingira au wizara ya Sayansi n teknolojia

Tembelea HYBRID CAR kujua maelezo zaidi

Hiyo ni beyond Politics part-2

Soma Beyond politics part 1 hapa
 
Wanunue hay a magari kwa umeme gani?

Mkuu Saint I
kwa umeme huo huo amabo unatumika kwenye ofisi zao zao na majumbani kwao. Sana sana kitakachohitajika cha gharama kidogo ni charger tu.

Lakini swali ulilouliza inawezekana ni vtu ambvyo wanasiasa wengi wanadhani haviwezekani au hawana TARIFA sahihi juu ya teknolojia iliyopo sasa. Hiki ni kitu kinawezekana . S io siasa ni maamuzi na utashi tu .
 
Maswali ya kujiuliza
  • Kwa wiki serikali inatumia shilingi ngapi na lita mgapi kwa gharama za mafuta kwa uendesahji wake wa mmbo y usafiri wa maofisa wake?
  • Je kiasi kikubwa cha gharama hizi za mafuta ya magri kinatumika kwa magari ya wa mofisa gani? Wa dar au Ruwa kwenye kilimo kwanza?
  • VX zilizopo dar kwa wiki zinaigahrimu shilingi ngapi serikali kwa gharma ya mafuta na serikali ngeokoa shilingi ngapi kam ingetumia njia mbadala?
  • Tunasubiri mpaka JICA au japn waje n mradi wa kutushauri kutumia Fuel efficient car hata kwa mofis wa Mjini?

Dr Slaa , Zitto Mnyik ,J. makamba , H kingwala CDM, CUF , NCCR etc ..... beyond Politics
 
Tunaona wanasiasa wetu wengi hasa vijana wana kwenda na current na techlogy kama matumizi ya Ipad lakini mbona mjengoni hatusiki mawazo na maoni ya kisayansi na kiteknolojia kama haya.......
 
kuna kitu ambacho watu wengi hawakitambui , katika dunia hii uwezi kukwepa matumizi ya petrol na dizel na ukabaki salama.

kuna magari mengi wanaweza kutengeneza yanayotumia umeme au jua .haya magari badala ya kupunguza gharama bali yanaongeza mara dufu.katika magari yoyote yanayokwepa kutumia mafuta basi mifumo yake inakuwa ni complex sana .....................................................................................gari ya mafuta ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,gar i lisilotumia mafuta

1.bei ya kunulia ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndogo .............................................kubwa

2.gharama za matengenezo......................................... ndogo............................................ kubwa

3.bei ya mafuta au energy...........................................kubwa................................................ ndogo

4.vipuri /spea.............................................................. ndogo................................................... kubwa

5.upatikanaji wa energy.shell ......................................kila sehemu ........................................sehemu chache

6. Usalama wa gari inategemea na mfumo
Mwisho wa siku utakuta gari zisizotumia dizeli au petrol zinagharama kubwa kuliko zinazotumia mafuta hayo
 
Mpaka technologia za kujaza matumbo yao ziishe kwanza ndipo watakapofikiria techonologia zingine kama hizo fikira zitakuwepo bado.
 
kuna kitu ambacho watu wengi hawakitambui , katika dunia hii uwezi kukwepa matumizi ya petrol na dizel na ukabaki salama.

kuna magari mengi wanaweza kutengeneza yanayotumia umeme au jua .haya magari badala ya kupunguza gharama bali yanaongeza mara dufu.katika magari yoyote yanayokwepa kutumia mafuta basi mifumo yake inakuwa ni complex sana .....................................................................................gari ya mafuta ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,gar i lisilotumia mafuta

1.bei ya kunulia ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndogo .............................................kubwa

2.gharama za matengenezo......................................... ndogo............................................ kubwa

3.bei ya mafuta au energy...........................................kubwa................................................ ndogo

4.vipuri /spea.............................................................. ndogo................................................... kubwa

5.upatikanaji wa energy.shell ......................................kila sehemu ........................................sehemu chache

6. Usalama wa gari inategemea na mfumo
Mwisho wa siku utakuta gari zisizotumia dizeli au petrol zinagharama kubwa kuliko zinazotumia mafuta hayo

Mkuu nadhani unafanya generalisation bila kuweka factor nyingi in consideration. Lakini hata hivyo kwenye teknolojia kuna kitu kinaitwa Pilot.

Uchambuzi wako unaonyesha kuwa matumizi ya magari haya hayafai lakini ukisoma uchambuzi mwingine utaona yanafaa.

Mfano.

Unasema gharama ya magari haya ni kubwa . Je i kubwa Kiasi gani?.au unalinganisha na nini?. Kumbuka Bei ambayo serikali inatumia Kununua VX mpya inaweza kunua gari kama hili.

Ukisema gharama ya matengenezo sijui pia matengenzo yake yana tofauti gani na gari nyingine. Lakini kumbuka VX la uuma linatumia lnatumia lita zaidi ya 100 kwa wiki.. Sasa ukipata gari ambalo linaweza kupunguza kwa 50% gharam ya mafuta wa wiki na ile gharama ya mafuta ukawekeza kwenye vifaa vya kurecharge kwenye vituo kadhaa vya mafuta kuna ubaya gani.....

Usalama wa gari sijui una maanisha nini kwani VX mengine usalama wake ukoje.

Kifupi utaona majibu kama gharama na haiwezekani ni kwa vision ya muda mfupi lakini nakuhakikishia si miaka Mingi watakuja JICA au mashirikika mengine serikali itayatumia haya magari.

Kifupi ni kuwa viongozi wetu sio tu hizi hybird . wengine wanaweza kuona ni dharau kwa status ya vyeo vyao kutumia saloon. Mpaka hiyo kasumba iondoke na wajue teknolojia ni zaidi ya kutumia Ipad.

Mambo ya gharama ,vifaa, compleity na usalama nadhani ni visingizo. Kumbuka hata wakati mfumo wa Automatic kwenye magari unazaa maneno yalikuwa hayo hayo .

Serikali Iagize japo gari tano iwekeze recharge center sehemu kadhaa dar ifanye pilot/reseach na kutoa majibu...
 
Back
Top Bottom