Maradhi ya Mwakyembe na Sinema ya kumwaga Unga High Table Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maradhi ya Mwakyembe na Sinema ya kumwaga Unga High Table Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Feb 21, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Hivi ni nani aliyeingia Bungeni usiku kwenda ktk kiti cha Mh. Spika na kupakaza Unga?
  Hivi kwa nini Mtu huyu aendelee kupeta wakati tukio hili linatatanisha?
  Wote tunafahamu Mwakyembe na Sitta wote wako msururu mmoja (rejea tahadharisho la Mwakyembe) ambalo alikuwa tayari ameshatoa ktk vyombo vya usalama juu ya kundi lililopanga kumdhuru, dulu zinasema waheshimiwa walikuwa wanalifanyia kazi.

  Kwa nini taarifa ya ugonjwa wake hawataki kuitoa au kwa nini aliyenaswa na kamera za siri bungeni anamwaga unga kwa nini hakuchukuliwa hatua??

  ANYWAY ni mafikra tuu
   
 2. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180

  Huyo ni Mr. AC, mmoja wa wale mapacha watatu a.k.a RACHEL. Ni wakakti ule wa soo la radar lilipotaka kuvaliwa njuga bungeni.
  Huyu mtu ni mmoja kati ya watu wanaosadikika wanatumia pia usangoma wa kuua maalbino, watu wa kwao wanajua lakini wanaogopa kumsuta kwa kuogopa kurogwa.

  Hayo maswali mengine watakujibu wenye kujua majibu.
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwamba kalogwa au kanyeshwa sumu
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  maswali mengi kuliko majibu
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,523
  Trophy Points: 280
  Ep 60000...
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Wingu nene!!
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  for this time i count Mwakyembe as FOOL
  AELEZE UMMA NINI KILIJIRI ALICHOKIFICHA RICHMOND ILI ISIWEPO TENA SABABU YA KUUWAWA IN CASE (UKISHATOA SIRI HAMNA HAJA YA KUNYAMAZISHWA TENA)
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Vilevile yule jamaa aliyefunga Vinasa sauti chini ya kitanda cha Dk Slaa (eti lengo wamkamate Dk wapi anapata data) waliishia wapi na uchunguzi wao???
   
 9. data

  data JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,523
  Trophy Points: 280
  Ep 60000...
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  hihihiiii huyu naee!atakuwa alishindwa tuu chezea slaa weye?
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,ccm,cccm,ccm,ccm,ccm,ccm.
   
 12. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  jamani mwakye nani kamuumiza? kama ni EL Urais ausikie kwenye bomba.
   
 13. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  No body knows!
  Everything is under the cover
   
 14. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Aisee! Kumbe Andrew ni mchawi hivyo!
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Morning bells ring x 2
  Ding dong ding dong!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mmmh siku akitajwa hamtaamini maana ni mtu anakubalika sana aliyenaswa na kamera za bunge.mwakembe si aseme tu
   
 18. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Asalaaale nani kasema ni Andrew?????
   
 19. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ugonjwa wa mwakyembe ni chezo tata, hao khna manumba wazinguaji! Jamaa dah! siamini walitaka mpoteza.
   
Loading...