Kuna tija yoyote kwa TAKUKURU kuhangaika na rushwa ya kura ya maoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tija yoyote kwa TAKUKURU kuhangaika na rushwa ya kura ya maoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ally Kombo, Feb 22, 2012.

 1. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi wa mwaka 2010, TAKUKURU ilihangaika sana na rushwa ya kura ya maoni chama TAWALA, kati ya waathirika ni Mungai na Mwakalebela. Mpaka sasa hakuna kesi hata moja TAKUKURU wameshinda ! Na wakati huu inadaiwa walikuwepo ARUMERU. Je kuna tija yeyote !?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Labda Nape atatusaidia!
   
Loading...