ebwana unakumbuka nini juu ya enzi zile za chama kushika hatamu? Ninachokumbuka mimi ni juu ya uwepo wa falsafa ya maendeleo chini ya utekelezaji wa mashirika ya umma. Nowdays mambo yapo tofauti sana!
vyama vingi vimeingia 1994, ina maana ww umezaliwa 1995 - if that is the case unatakiwa uwe shule muda huu, unafanya nini JF.Nilikua sijazaliwa
Mkuu itakuwa pale Kihesa! Tehe teheNakumbuka misemo ya ajabu ajabu ambayo sasa hivi ukiisema tu wenye hela wanakufunga. Mfano' ubepari ni unyama!(uwekezaji) makabaila!(wahisani) mabwanyenye(wafadhili) twende geza ulole, ujamaa ni imani!....aagh! Nachoka. Kuna siku Mwenyekiti wa chama alikuja eneo letu,kwa kiherehere cha katibu kata akakimbilia kufungua mlango wa gari kabla usalama wa taifa hawajafungua, wee alipigwa kibao kimoja cha kufa mtu! Akazunguka kama pia! Baada ya maumivu akasema,"jeuri ya chama"!
Mkuu kulikuwa na maduka ya Kaya pia kulikuwa na Shirika la Ugawaji la Taifa. Kulikuwa na raba mtoni, akin Mama walikuwa wakipaka mafuta yanaitwa Ladyguy!sikumbiki chochote zaidi ya kujipanga asubuhi hadi jioni kusubiria vitu adimu, sukari, sabuni, chumvi kwenye duka letu la ushirika -- wakati huo supplier ni mmoja tu -- RTC. (R.I.P
Yes, nimekumbuka kingine, nikiwa darasa la sita sikukaa nielewe katiba ya CCM ambayo eti waliiweka kweye syllabus yetu, unakaririshwa wajumbe wa mikutano ya CCM toka kijiji hadi Taita - aisee sikupenda kitu ka hicho na hadi leo sikumbuki chochote.
Badala ya kutufundisha katiba ya nchi wao wanatukaririsha katiba ya CCM tukiwa wadogo, aisee CCM walikuwa ni wanoma.
sikumbiki chochote zaidi ya kujipanga asubuhi hadi jioni kusubiria vitu adimu, sukari, sabuni, chumvi kwenye duka letu la ushirika -- wakati huo supplier ni mmoja tu -- RTC. (R.I.P
Yes, nimekumbuka kingine, nikiwa darasa la sita sikukaa nielewe katiba ya CCM ambayo eti waliiweka kweye syllabus yetu, unakaririshwa wajumbe wa mikutano ya CCM toka kijiji hadi Taita - aisee sikupenda kitu ka hicho na hadi leo sikumbuki chochote.
Badala ya kutufundisha katiba ya nchi wao wanatukaririsha katiba ya CCM tukiwa wadogo, aisee CCM walikuwa ni wanoma.
Mkuu kulikuwa na maduka ya Kaya pia kulikuwa na Shirika la Ugawaji la Taifa. Kulikuwa na raba mtoni, akin Mama walikuwa wakipaka mafuta yanaitwa Ladyguy!
Tulikuwa tunadumisha fikra sahihi za mwenyekiti wa chama.
Nakumbuka misemo ya ajabu ajabu ambayo sasa hivi ukiisema tu wenye hela wanakufunga. Mfano' ubepari ni unyama!(uwekezaji) makabaila!(wahisani) mabwanyenye(wafadhili) twende geza ulole, ujamaa ni imani!....aagh! Nachoka. Kuna siku Mwenyekiti wa chama alikuja eneo letu,kwa kiherehere cha katibu kata akakimbilia kufungua mlango wa gari kabla usalama wa taifa hawajafungua, wee alipigwa kibao kimoja cha kufa mtu! Akazunguka kama pia! Baada ya maumivu akasema,"jeuri ya chama"!