Uamuzi wa Kesi ya Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamuzi wa Kesi ya Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rugemeleza, Feb 22, 2012.

 1. R

  Rugemeleza Verified User

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huu ndio uamuzi wa kesi ya Tanesco v. Dowans ambao ulitolewa na Jaji Dk Fauz Twaib nadhani utasaidia kuondoa mkanganyiko ambao ulijitokeza mara baada ya kutolewa. Waandishi na magazeti mengine yaliulewa visivyo na wakasema kuwa Tanesco imebwagwa mahakamani. Kile ambacho Jaji amesema ni kuwa Tanesco wana haki ya kukata rufaa Mahakama ya Rufaa moja kwa moja bila kibali au ruhusa ya Mahakama Kuu. Hivyo pingamizi la Dowans juu ya maombi hayo limetupiliwa mbali hali kadhalika maombi ya Tanesco ya kuomba ruhusa hayakuwa na maana kwani wana haki hiyo.
  View attachment TANESCO V DOWANS (RG 20 Feb 2012(3).pdf
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  Mbona kilichoandikiwa hakikuwa kigumu hivyo kueleweka? Uzuri ni kuwa issue iliyopo sasa ni kujiandaa kutengeneza appeal kwani siyo tu inawezza kugusa sheria bali pia facts of the case. I hope wapambanaji tumewapa zana za kutosha to do both.
   
 3. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,173
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Ngeleja = Rostam + Lowassa + Richmond - Dowans > Nishati na Madini

  Bado napata wasiwasi hapo.
   
 4. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm oyeeee??? uwiiiiii.........

  ccm oyeee?? kele uwiiiii.............
   
Loading...