walioshindwa kura za maoni CCM kuhamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

walioshindwa kura za maoni CCM kuhamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 22, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG][h=6]Bavicha Arusha
  [/h][h=6]Wa kwanza kushoto ni Elirehema Kaaya,katikati ni Godbless Lema,na Kulia ni Wiliam Sarakikya,waliokosa kwenye kura za maoni,kwa sasa wanahaha kurudi CHADEMA,hapa walikuwa kwenye kikao[/h][​IMG] wakuu imekaaje hii nimekuta huko facebook.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wanataka kugombea au kuongeza nguvu maana kuna kijana Nasari pale
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hivi hawa walitoka CDM? Kurudi sio ishu,ishu ni je wanataka nini CDM?
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kwani mwanzoni walikuwa cdm?kama ndivyo hawafai,inaonekana wana uchu wa madaraka.
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wanataka nini hao,sio wapiganaji wa kweli,labda tuwatumie kuchukua jimbo halafu tuwapige chini
   
 6. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  Time will tell,ukweli tabia ya chama chao imewadissapoint sana wa CCm so lolote linawezekana
   
 7. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  Sina hakika na kisali Sarakikya lakini Elirehema Kaaya hajawahi kuwa Chadema
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hii itakuwa ni ajabu sana maana hata uteuzi wa mgombea bado? Wanatakiwa kuwa wavumilivu pengine mmoja wao anaweza kuteuliwa, maana ushindi katika kula za maoni haimaanishi kuwa ndiyo atateuliwa kulingana na taratibu za CCM japo ni hatua muhimu pia kuelekea uteuzi.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wakija wawe wapole, na si watake uongozi!..sisi tushamgroom mtu kwaajili ya Arumeru tayari!...Nassari!
  Walikuwa Bar gani hapo pichani?..Nimeona Valuer kwenye glasi!:tongue:
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Tunawakaribisha Chadema, lakini si kwa nia ya kutaka wagombee ubunge katika uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki.

  Wawe tayari kukitumikia na kukijenga chama hadi hapo nafasi nyengine zitakapopatikana, basi wataweza kushiriki kikamilifu. Kwa wakati huu wagombea waliokuwa ndani ya chama ndio nafasi yao, nami bila shaka ninatarajia wanachama wa arumeru mashariki watampitisha kijana Nassari kubeba bendera ya chama. Na kwakuwa uongozi wa juu wa bavicha unakwenda huko arumeru kuwasha moto, basi kuna asilimia kubwa ya kuibuka na ushindi.
   
Loading...