Lessons from Uganda on oil agreements with investors
Saturday, 25 February 2012 10:17
By George Wachira
The Citizen Correspondent
Nairobi.
Earlier this month Uganda announced...
Mgombea wa ubunge ccm aliyeshindwa kura za maoni Bw Anthony msami amehamia na ameomba kugombea ubunge kupitia chadema. Katibu wa chadema wa Wilaya ya Meru bw Totian Ndonde amethibitisha kuwa Msami...
Mhariri wa gazeti la Guardian la tarehe 26 Februari 2012 ametoa maoni mazuri na yenye nguvu juu ya vitendo vya mauaji vinavyofanywa na Jeshi la Polisi bila kuchukuliwa hatua yoyote. Ni vema kama...
Sheria Namba 8 haiwezi kuwa Juu ya Katiba ya Zanzibar. Written by Harith Ghassany // 15/02/2012 // Habari // 1 Comment
Na, Vijana wa Umoja wa Kitaifa Zanzibar.
Sheria ya Mabadiliko ya...
Hatari ninayoitabiri ambayo inaweza kuleta maangamizi kwa nchi yetu ni juu ya matumizi ya sheria mbalimbali zinazovunjwa na mhimili mmojawapo wa dola ili kukidhi matakwa yake binafsi au kuonyesha...
Kwakuwa mheshimiwa umekuwa unatufariji mara kwa mara hasa kwenye misiba iwe ya raia ua viongozi bila kuja kujali itikadi za vyama vyetu; tunakuomba uwakumbuke na wananchi wa Songea hasa...
Katika moja ya miswada iliyopelekwa Bungeni na Wabunge kwa umoja wao kutoipitisha ni ule unaohusu "KUPUNGUZA USHURU BIDHAA YA MAJI"
Wabunge waliipinga kwani haina manufaa kwa mlaji badala yake...
Rais Jakaya M Kikwete amekuwa na hulka isiyovutia.
Linapotokea tukio ambalo yeye kama Rais anatazamiwa kuonyesha njia yeye hutingwa na safari tena za nje ya nchi.
Matukio ninayoyakumbuka kuwa...
Polisi mkoani DODOMA leo wamebatilisha kibali cha kufanya mkutano wa hadhara wa chama cha democrasia na maendeleo-CHADEMA.Mkutano huo ulikuwa ufanyike katika kata ya Chang'ombe eneo la standi kwa...
salamu kwenu wana jf !
Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema...
Baada ya kupita miezi kadhaa tangu bwana Kafumu atangazwe mshindi katika jimbo la Igunga hatimaye leo tar 26 Feb chama kinasherehekea rasm katika viwanja vya Samora. Gari la matangazo linapita...
Kwa siku kazaa kumetokea majibishano concern Arumeru je mmeshafanyia hizi tafiti na mkajua mtashinda?
1. Kuboresha Daftari la wapiga kura
Ikumbukwe hili ndilo jambo la msingi kabla ya kuingia...
Kada wa CCM Arumeru atimkia CHADEMA
MAMBO ndani yaChama Cha Mapinduzi (CCM) yameendelea kuwa tete baada ya mmoja kati yawalioshiriki kinyanganyiro cha kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo...
HIli neno "huyu anakubalika" ni neno la kitapeli ambalo lengo lake ni kumtaka mtu ampigie kura au ampende mtu ambaye hana sifa za kutawala au kuwa mbunge. Utakuta mtu anakuambia au uvumi unaenea...
Kuna tukio la uvamizi wa mgodi wa North Mara lilitokea na kupelekea mauaji ya raia kufanywa na jeshi la polisi wilayani Tarime.Tukio lile lilisababisha rabsha nyingi kama polisi kuvamia chumba cha...
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesisitiza ulazima mkubwa wa kujengwa viwanda vya Tumbaku Tabora nalaani vikali vitendo vya polisi kunyanyasa raia na kuwanyang'anya raia mifugo yao.Nae...
Mawaziri 13 kutupwa nje
Na Jacob Daffi - Imechapwa 15 February 2012
Mwanahalisi
RAIS Jakaya Kikwete aweza kufanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri wakati wowote sasa, imefahamika.
Taarifa...
Wana JF kitendo cha Msajili wa vyama vya siasa Jonn Tendwa kazungumza na Waandishi wa habari na kusema kuwa katika tathimini yake katika uchaguzi wa Arumeru Wazee wa kimila wamemwambia kuwa...
Sioni wanachokifanya haw watu zaidi ya kutuongezea gharama tu sie walalahoi. Tubaki tu na hao makatibu wakuu ambao kimsingi ndio watendaji na wanaojua kila kitu wizarani. Isitodhe tuna manaibu...