Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Ubunge Kupitia Chama Cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) Anashambuliwa, Anatuhumiwa, Anashauriwa. Wanaomshambulia ni Vijana wa CCM "Eti Wakijidia kwamba wao ni CDM". Nadhani...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Gazeti la Mwananchi, Tuesday, 06 March 2012 20:51 MBIO za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki zimefikia patamu, baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Democratic...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Great Thinkers, niseme yanayonikera nchi hii. mimi naangalia matatizo ya nchi hii na jinsi nchi inavyokwenda naona hatuna dira wala mwelekeo uanaoeleweka. Kinachosikitisha ni kwamba vyama vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF Mimi binafsi si mwanachama wa chama cha CUF, lakini nimekuwa nafarijika sana jinsi chama hicho kilivyoibana CCM visiwani Zanzibar mpaka kufikia hatua ya kugawana madaraka. Tukubali...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Na Sophia Yamola | MwanaHalisi - Imechapwa 24 August 2011 Ndani ya Jamii GAZETI la Chama Cha Mapinduzi (CCM) lilipoandika wiki iliyopita kwamba Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda...
1 Reactions
112 Replies
11K Views
Katika kile kinacho jionyesha kwamba madaktari wa nchi za Afrika Mashariki wamedhamiria kuteketeza maisha na roho za wananchi. Nchi jirani ya Kenya napo mgomo wa madaktari uliodumu takriban kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nimeona Kikwete akizungumza kama rais. Akihutubia mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wa polisi iliyofanyika Moshi Kikwete amewataka maofisa hao kurudisha imani kwa wananchi kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Pinda:Hatuwang'oi Mawaziri wa Afya Send to a friend Tuesday, 06 March 2012 21:07 0diggsdigg Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu mgogoro wa serikali na...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Zaidi ya mwaka mmoja umeshapita sasa tangu Rais Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani katika muhula wake wa pili wa kuliongoza taifa hili. Ingawa mwaka mmoja sio muda wa kutosha kwa kiongozi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kufuatia vuta nikuvute baina ya serikali na madaktari juu ya kuboresha maslahi na mazingira bora ya kufanyia kazi, madaktari waliipa 'ultmutum' serikali kushughulikia madai yao. Ultmutum hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
>mwananchi: " sasa waziri fidia inalipwa kwa wenye nyumba, na sisi wapangaji inakuaje? tunastahili kulipwa" > >Magufuli: "Jenga ya kwako, tena we daktari huna nyumba" > >mwananchi2: "sasa waziri...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida tawi la wawi babarani muda huu viongozi wa wilaya ya chake chake wametolewa katika kikao hicho kwa matusi na kuambiwa sasa ni kambi ya ADC
1 Reactions
34 Replies
4K Views
John Mnyika - Ubungo tangu anachukua Ubunge kupitia Chadema mpaka sasa ana nyumba 10 jijini Dar-es-salaam na kila nyumba tunaijua ilipo leo anazungumzia ufisadi kweli wajinga ndio waliwao...hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Amini usiamini kuunga mkono jitahada za madaktari katika sekta ya uma, Madaktari wa hospitali za private bbao wakiri kushiriki mgomo huo. Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau naomba mnisaidie mahala popote ambapo naweza kupata mwongozo wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi tanzania, ambao unaelekeza wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa bado masomoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ningekuwa Rais wa Tanzania nisinge kimbia kivuli changu! Kitu ambacho ningekifanya nikabiliana na hizi changa moto migomo,kwa mgomo wa madaktari uliopo niwa msingi hapakuwa na haja yakudhania...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Wakuu salamu, Muda huu umenipita msafara wa JK hapa maeneo ya Tabata dampo. Msafara ulikuwa na magari zaidi ya 30 na difenda za Presidential Protective Unit kama 8 hivi. Wamepita kwa spidi kali...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…