mwongozo wa wizara ya elimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwongozo wa wizara ya elimu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shagiguku, Mar 7, 2012.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  wadau naomba mnisaidie mahala popote ambapo naweza kupata mwongozo wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi tanzania, ambao unaelekeza wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa bado masomoni wajifungue na kurudi tena kuendelea na masomo yao. pamoja na hilo pia ningependa kupata mwongozo wa wizara hiyo kuhusu elimu ya uzazi kwa vijana shuleni.

  MOD. TAFADHARI SANA NAKUOMBA UIACHE HII THREAD HAPA ILI NIWEZE KUSAIDIWA USIIHAMISHE. I'M BEGGING YOU....!!!!
   
Loading...