Tusifurahie anguko la CUF, hasa Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusifurahie anguko la CUF, hasa Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaijabutege, Mar 7, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana JF

  Mimi binafsi si mwanachama wa chama cha CUF, lakini nimekuwa nafarijika sana jinsi chama hicho kilivyoibana CCM visiwani Zanzibar mpaka kufikia hatua ya kugawana madaraka. Tukubali au tukatae, ukweli unabaki kuwa CUF kimejenga historia katika visiwa hivyo.

  Kwangu mimi, adui namba 1, 2 na 3 wa Tanzania kwa sasa ni CCM. Mgawanyiko wa CUF ni furaha zaidi kwa CCM; ikiwezekana, CCM kiko tayari kufadhili mgawanyiko huo. Nguvu ya CUF Zanzibar imekuwa ni kero kwa CCM; kama nguvu ya CHADEMA inavyoanza kuwa kero kwa CCM huku bara. Mgawanyiko unaoendelea CUF baadhi yetu tunaufurahia kana kwamba utaishia CUF tu. Ni mkakati thabiti. Umepangwa. Baada ya CUF kufa au kupungua nguvu Zanzibar, nani atafuata?

  Kila mpenda maendeleo na demokrasia, asifurahie kifo cha CUF, hasa Zanzibar, na zaidi Pemba.

  Mimi nasema ukweli, sipendi CUF ikose nguvu Zanzibar.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kianguke tu....
  kama kiongozi anaweza sema wameshindwa uzini kwa sababu kuna wakristo wengi?
  hakifai.................
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  CUF ina wanasiasa wanaotia shaka kuhusu uwepo wa Tanzania. Ni kama wanafagilia kuona Tanzania inapotea. Why do we have to trust them? Na kama kuanguka sababu imekuwa nini? Let them rest in peace
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hayo ni mawazo ya mtu mmoja.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu.From my heart kuliko CUF its much better CCM.Haiwezekani kiongozi mkuu wa chama anasema waziwazi wameshindwa uchaguzi kwa sababu ya Ukristo.Mtu huyo ukimpa mamlaka atawanyonga hao wakristo asiowapenda na anaodhani ni adui wa chama chake.CUF is disaster in our country
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Shame! Kauli inatolewa na Naibu katibu mkuu wa chama unasema ni kauli ya mtu mmoja? Mbona chama kisikanushe.How you dare?
   
 7. l

  lakuosha Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la CUF ni UBAGUZI, ukitaja kujenga historia visiwani hilo halipingiki lakini lazima ujue hiyohiyo historia ndio imewabeba kuweza kudumisha upinzani Zanzibar. Siasa za visiwa vya Zanzibar na Pemba ni za KIHISTORIA na hadi sasa zipo lakini majina ya washikadau yamebadilika. HIZBU na AFROSHIRAZ = CUF na CCM respectively.
   
 8. African American

  African American Senior Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Idd Amini! wewe huijui Cuf. Anaijua ni Jussa aliyesema ukiristo ni tatizo kwa wao kushinda!siku akishindwa jimbo lenye waislamu wengi atasema ni kwa sababu kuna weusi wengi, kama alivyosema msemaji mmoja hapo juu. Hiki chama hakitaki tanzania hata kilipoanzishwa kiliitwa Zanzibar United Front walibadili jina wakaita cuf kwa sababu sheria hairuhusu chama cha upande mmoja. Nakuasa utoke huko kama wewe si sultani!!cuf ni chama cha masultani!!!!!watakuvua gamba kama walivyofanya kwa wamatumbi wakina Hamad na Doyo, shauri yako.
   
 9. 1

  19don JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  acha cuf ife, lipumba anakuja kuhitimisha mazishi
   
 10. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  CUf itakufa huku bara siyo Zanzibar. HR hana wafuasi wa kuitishia CUF ktk ngome yake Pemba na baadhi ya maeneo ya Unguja.
   
 11. l

  lakuosha Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Ni sawa kabisa na baadhi ya maeneo"
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Nadhani hii thread inawahusu zaidi waislamu.
  Source: Ismail Jusa na Shaweji Keto.
   
 13. l

  lakuosha Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu haina mahusiano na waislamu, wacha jazba.
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CUF ipo na itaendelea kuwepo! Uhai wa CUF hautegemei Molemo, VINEGA, au CHADEMA! Hili kundi halijawahi kuitakia mema CUF hata siku moja kwenye uhai wake! Hawa ndio waliomleta KIKWETE madarakani kwa kudai chaguo la mungu. Sasa wameamua kumleta padre kabisa! Hilo nalo litashindwa! Wanao hubiri CUF kufa ni maadui wa jadi wa CUF ambao tunawajua! Amini naawambia CDM itakufa kwanza kabla ya CUF! I can bet my life on it'
   
 15. l

  lakuosha Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dalili ya mvua ni...............................................
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Jussa: CUF imeshindwa uzini kwa sababu ya Ukristo.
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  abdalah unanifurahishaga na ndoto zako?

  kujua maehemu anaepelekwa makaburini atafufuka na mtu mzima afe huo ni unabii.
   
 18. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwanini hili neno TANZANIA munalipenda sana nyinyi Watanganyika na munakosa amani pindi mukilisikia linahatarishiwa amani!! Kwa nini musiwe na ndoto ya kuiona Jamhuri ya Watu wa Tanganyika kama wanavyotamani Wazanzibari siku moja waishuhudie Jamhuri ya watu wa Zanzibar. Nini kimewasibu wenzetu?
   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,734
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Ndugu Mpemba Mbishi kwa kweli hata mimi huwa nawashangaa sana hawa watanganyika wenzangu wanaokerwa kuona wazanzibari wakidai haki za taifa lao la Zanzibar.
   
Loading...