Ningekuwa Rais wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa Rais wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Mar 7, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mimi ningekuwa Rais wa Tanzania nisinge kimbia kivuli changu! Kitu ambacho ningekifanya nikabiliana na hizi changa moto migomo,kwa mgomo wa madaktari uliopo niwa msingi hapakuwa na haja yakudhania ni mgomo ulioshinikizwa kisiasa! migomo inahitaji utashi waserikali ili kumaliza matatizo ya migomo vyuoni, na tahasisi mbalimbali za serikali ukiona mgomo ujue kuna ukiukwaji wa namnafulani hivyo nakusababisha mgomo tunakuomba Mh Rais sema na madaktari!

  Huko mawodini kuna wananchi wako wanasubiri huduma yatiba nawengine walikuwa na ahadi na madaktari kufanyiwa upasuaji je wasipokutana nao je maisha yao yataendelea kuwepo?achana na na porojo za wazokwambia!

  Tumia busara kama uliyoitumia wakati wa kusaini mswada wakatiba na ukaamua kuurudisha bungeni wananchi wanahitaji busara zako.
   
Loading...