JK kwenda kumpokea Prof. Lipumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kwenda kumpokea Prof. Lipumba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by senior rashid, Feb 27, 2012.

 1. s

  senior rashid Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Toa source wewe
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Swali hili uulizwe wewe, ambaye hata chanzo cha habari hujatuwekea!
   
 4. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lekebisha mwaka ueleweke.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  noted:A S embarassed:
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii si ajabu hawa waliunganisha vyama vyao, na sasa CCM na CUF ni wamoja! hivyo mkuu kumpokea msaidizi wake ni jambo la kawaida!
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Waacheni wafu wawazike wafu wenzao!
   
 8. B

  Bryson Mbeula Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  duuh mkuu hiyo tarehe niaje aise..mbona sikunyingi sana...mwaka juzi?
   
 9. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  To me this looks like bourbon talk!
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Hivi, kati ya habari na chanzo huwa unaamini kipi?
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu JK akienda kumpokea Prof. Lipumba ni sawa tu. Kama Mtanzania amelitangaza jina la nchi huko ughaibuni. Mbona viongozi huwa wanawapokea walioenda Big Brother ama kwenye mamiss!
   
 12. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naweza kukubali kuwa ni typing error ambayo haitokuondolea uhalali wa kuleta mchango wako ila uwe unajaribu kupitia facts zako kwa kusoma kabla ya kurusha ili kujiridhisha katika uandishi wako lakini pili tatizo ni lipi kama yeye kwa niaba ya Watz wakimpa Lipumba heshima hiyo manake kule hakuwa Lipumba tena bali Mtanzania ndiye aliyekuwa kule. Hapa tusiweke Siasa sasa.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Lipumba kichwa ila ndo ivyo nabii hakubaliki kwao!
  Kama ni kweli akampokee tuu bse nae ni mtz kama wengine na anailetea sifa nchi ambayo uchumi wake uko Fyongo.
  JK mweke karibu Lipumba atunyoshee uchumi huu pls,mambo ya itikadi wekeni pembeni
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  protocal inasemaje.....? kama hakwenda kumpokea asha migiro alipoteuliwa unaibu katibu mkuu ndio aende kwa lipumba ...any sense?? sana sana kiprotokal Lipumba anaweza kupewa access ya kufanya courtessy call ikulu...ambako rais atafanya nae mazungumzo ya kumpongeza ..if that at all is true..
   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Indeed it is !! Such problems arise when you have mad people in your midst.
   
 16. m

  mjinga JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbona Hamad Rashid alikwenda kumpokea JK Dodoma!!!!
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huyu ni mwenyekiti mwenza kwenye vyama vyenye ndoa

  likely kufanya hivyo ni kuwahadaa wana CUF wa Tanzania bara
   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kujiridhisha kuwa umeanzisha thread bila kuwa na uhakika na ulichokiandika fuatilia mahojiano haya hapa chini   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii mkuu. Maake ataenda kama rais au kama rafiki?
  Je hii taasisi ya Rais itakayokwenda kumpokea itaundwa na nani?
  Ukweli Professor ameiletea sifa TZ. Hii potential ilishakuwa exploited na akina Museveni na Mwinyi kidogo. Lakini KIRIBA cha roho hakitatuacha kumwomba angalau Ushauri.
  Tuache Siasa hapa tuona kuwa Professor Lipumba is unexplored asset for poor TZ. Wenzenu wamemuona!
   
 20. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mnaumia sana hata kagame kampongeza lipumba
   
Loading...