Kauli mpya ya magufuli inayoweza kuingia kwenye top ten za viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli mpya ya magufuli inayoweza kuingia kwenye top ten za viongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chenge, Mar 5, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  >mwananchi: " sasa waziri fidia inalipwa kwa wenye nyumba, na sisi wapangaji inakuaje? tunastahili kulipwa"
  >
  >Magufuli: "Jenga ya kwako, tena we daktari huna nyumba"
  >
  >mwananchi2: "sasa waziri, huoni kwamba ni usumbufu kwa watanzania wenye hali ya chini kuvunjiwa nyumba na kuanza kuhangaika kutafuta pa kuishi, hivyo tufikirie kutufidia kidogo"
  >
  >Magufuli:"Kama unaona tanzania tunakusumbua hamia kenya"
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu weka source of this information.

  Sio kwamab sikuamini, lakini ni vema kujua ukweli ya hii habari.
   
 3. I

  Ima R. Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawasalimu wote. Nasubiria wadau kisha nitarejea
   
 4. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo ndo bull dozer.
   
 5. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  'Ukiona hawajakujibu jua hawataki salam zako' Mwendo wa kimagufurigufufuri!!!
   
 6. k

  kuzou JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chanell ten wakati wa ukaguzi wa barabara namanga _arusha,Mkutano wa hadhara na wananchi
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Majibu ya shot cut kama ya lodilofa yanatokana na ulevi wa madaraka
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Jamaaa nampendaa anafanya kazi ila taizo lake ni hilo tu anaongea sana alafu maneno ya dharau kama hayo sasa
   
 9. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nilikuwa kwenye huo mkutano,kiukweli jamaa ni bandigu sana,cjui akipata upresee atakuwaje???
   
 10. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikia kama huwezi kulipa nauli PIGAMBIZI.
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mi nashindwa kuona makosa ya majibu yake, yuko sawa kabisa.
   
 12. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  mnamwonea udaktari mzima ujajenga ina maana mnaendekeza serikali angekuwa mimi kila mfanayakazi anayelipwa 3 million alafu ajajenga ningemtimua
   
 13. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  jamaa ni mzuri ila huu ni udhaifu mkubwa kuliko ubora wa kazi yake, pengine itakuja kumgharimi siku moja !
   
 14. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  hivyo viwanja walipima lini ?
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ni mpaka ujaliwe kuwa muungwana ndio utaona tofauti !
   
 16. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,820
  Trophy Points: 280
  Hahahaha ah imenifurahisha hiyo
   
 17. Amani Nyekele

  Amani Nyekele Senior Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu usije ukawa umetunga stori kutengeneza Komedi..!!
   
 18. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mi napita tu hapa coz ni mgeni na mazingira
   
 19. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,877
  Likes Received: 2,827
  Trophy Points: 280
  Jamani Magufuli tumsamehe kwa bure huyo ndo Msukuma asilia ukipenda unamwita wa jadi! Ulishawahi kuongea na Msukuma mwenye ng'ombe zaidi ya 200? Haki ya nani utachoka! Majibu ya mkato kwa kwenda mbele!
   
 20. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  hii ni nukuu kutoka namanga mpakani mwa tanzania na kenya akiwahutubia kuhusu upanuzi wa soko la pamoja mpakani, mi mwenyewe ni shahidi kama vipi ngoja nikaitafute video yake niitundike hapa jf, ama kama vipi unaweza kuwaomba tbc watukupa video yake
   
Loading...