CCM yaanza kazi ya kusaka kura ARUMERU

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
428979_369176749773940_100000448559311_1320290_284476922_n.jpg Mtake msitake
 
Soon and very soon, tutaanza kuona deraya za kivita zikirandaranda mitaani nyakati za uchaguzi. Maana yake ni kwamba taarifa za kiintelijensia zimebashiri kutokea kwa machafuko huko Arumeru.
 
hapo mkuu umepatia kazi umeanza then zitafuata kauli za ''lazima tushinde Arumeru'', huo ulazima ni kwa sababu ya hiyo mashine hapo juu
 
Hizi mbinu huwa zinatumiwa na nchi ambazo viongozi wao hawajaleta maendeleo, wala hawatakaa walete zaidi ya kulazimisha kubakia madarakani waendelee kuiba mali ya taifa pia kuwasaidia kuepuka mkono wa sheria kwani wanajua pindi wakitoka madarakani utajiri wao utakwisha na watawekwa jela. Ila endeleeni maana mwisho wenu unafika kwani elimu ya uraia inazidi kushika kasi nchini mpaka huko vijijini ambako mnategemea uelewa mdogo. Inabidi kuanzia sasa kila redio na television ziongelee na kuonyesha vita kwani ndio mbinu zenu zilizopitwa na wakati. Badala huko watu mnaotaka wawape kura kuona magari ya vitabu, ambulance, visima vya maji, umeme nk nyinyi mnakuja na maderaya. Mtakaa sana ndugu zangu.
 
Hoyaa, gambas lazima wachukuwe Arumeru, itakuwaje nyie gwandas muwanyang'anye sahani waliokwisha anza kuila?

Hata mie sikubali.
 
Ukiona magari ya deraya yanatumika either kuwalinda viongozi au kusuppress umma ujue kwamba uongozi uliopo haukuingia ki halali madarakani. Kiongozi aliyeingia ki halali hawezi kuwa na msururu wa walinzi kwa sababu hana hofu na wananchi waliomchagua. Ukiona vyombo vya ulinzi na usalama vikitumika katika uchaguzi wowote, jua kwamba hakuna haki katika uchaguzi huo.

Arumeru najua hawatishwi na vyote hivyo, najua sauti zao zitasikika.
 
Na mara nyingi mkuu umma hushinda watawala !
 
haya magari watu wa Arumeru wasiyaogope kabisa kama yalishindwa kufanya kazi kwenye rami itakuwa kwenye migomba....
 
Magambas are afraid of their own shadow, I doubt if they even get out at night for a pee!
 
Back
Top Bottom