Madaktari wa hospitali binafsi kushiriki mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wa hospitali binafsi kushiriki mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salas, Mar 7, 2012.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amini usiamini kuunga mkono jitahada za madaktari katika sekta ya uma, Madaktari wa hospitali za private bbao wakiri kushiriki mgomo huo.

  Nawasilisha
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mbona inazidi kuwa hatari!
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,106
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kwani wamegoma kweli?!
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  umbea ukizidi ni ujinga

  tupe source
   
 5. +255

  +255 JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,790
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  Tutajie hata tatu ambao Madaktari wake wamegoma
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hakuna mgomo kokote.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,747
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Hivi hospitali za binafsi zina madaktari? Mimi najua zahanati za binafsi ndizo zina wahudumu wa afya.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 12,961
  Likes Received: 5,830
  Trophy Points: 280
  Hilo neno ulilolitumia mwisho ondoa herufi "u" weka herufi "M" ndio linakua jina lako siku ya leo.
   
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,567
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Chili au Tomato?
   
 10. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sekta ya uma hawawezi wala wananchi hawawezi kuwasapot ma dr.kwasababu wajinga niweng tz hawzijui haki zao nahilo nizao la nyerere kuto wapa elimu wananch wake unajua niheli uchane nguo kuliko daftari madocta tumien elimu yenu na haki zenu watawapatien watake wasitake mungu awaongoze
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaa vijana acheni kutupa raha asubuhi.
  Hizi taarifa zatoka wapi?
   
 12. C

  Cupid 50mg Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupe source mkuu.
   
 13. j

  jigoku JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,334
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nasikitika kama tools bado ziko up,maana nilitegemea asubuhi hii tools down.
  madaktari vipi?
   
Loading...