sisi agent
Member
- Nov 19, 2011
- 30
- 16
Katika hali isiyokuwa ya kawaida tawi la wawi babarani muda huu viongozi wa wilaya ya chake chake wametolewa katika kikao hicho kwa matusi na kuambiwa sasa ni kambi ya ADC
Mtatiro utujibu sasa;
mlimtuhumu hamadi rashidi ya kwamba nyendo zake zilikuwa na lengo la kukivuruga chama! hatua mliyochukua kwa madai yenu ilikuwa ni sahihi kwa mustakabali wa uwepo wa chama, mbona mnaonekana nyinyi ndo mmeendesha hujuma dhidi ya chama chenu wenyewe kwa faida ya sefu sharifu hamadi? semeni sasa kati ya sefu sharifu hamadi na hamadi rashidi nani kavuruga chama?
Hawezi kukujibu chochote leo asubuhi alikuwa hapa Musoma, Viktoria FM amebana maswali amebaki kutoa povu ile mbaya........Mtatiro utujibu sasa;
mlimtuhumu hamadi rashidi ya kwamba nyendo zake zilikuwa na lengo la kukivuruga chama! hatua mliyochukua kwa madai yenu ilikuwa ni sahihi kwa mustakabali wa uwepo wa chama, mbona mnaonekana nyinyi ndo mmeendesha hujuma dhidi ya chama chenu wenyewe kwa faida ya sefu sharifu hamadi? semeni sasa kati ya sefu sharifu hamadi na hamadi rashidi nani kavuruga chama?
Suali hili hakuna haja ya kulijibu Mtatiro, hata mimi naweza kukupatia majibu: Maalim Seif anatambulika Pemba yote na ni Mkombozi wa Wazanzibari (hata Raisi wako Kikwete na Padri wako Slaa wanalijua hilo) bali Hamad Rashid ni mtoto ambaye kwa Zanzibar hakuna sehemu nyengine ambayo anajuilikana ukiwatoa wanafamilia yake hapa Wawi. Sasa atawezaje kukivuruga Chama sehemu ambayo hakubaliki; watu wameamua 'kumpotezea' na ndio maana tangu siku alipofukuzwa kutoka katika CUF hujasikia Kiongozi yeyote wa Chama akimzungumza. Zaidi hua anajiuliza maswali na kujipatia majibu mwenyewe sambamba na kupiga picha za 'kujiuzisha sura' na kina Mtalii Kikwete na Mr. Pinda; wapenda sifa wenzake! Nadhani tayari uchizi unaanza kumnyemelea!! Chezea Wapemba weweeeee! Kama hamumjui Maalim muulizeni Salmini Amour, Masauni Yussuf Masauni, George Kizuguto na wengineo (wote wamekua wafu hai) lakini Simba wa nyika ndio kwanza anadunda huku akiisubiria kuiona kwa macho yake JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR iliyo HURU ambayo itazaliwa hivi karibuni Mungu akipenda.
Mpemba mbishi hivi kusema uwongo huoni aibu maana hapa muda huu ni vurugu tu mlingoti umeshangolewa rasmi muda huu na bendera imeshachanwa huoni aibu kusema upo wawi hapa barabarani kwa heri na muda huu ni kuelekea maeneo mengine
Mpemba-Mbishi,
..mwisho mtaishia na Jamhuri ya watu wa Pemba.
Suali hili hakuna haja ya kulijibu Mtatiro, hata mimi naweza kukupatia majibu: Maalim Seif anatambulika Pemba yote na ni Mkombozi wa Wazanzibari (hata Raisi wako Kikwete na Padri wako Slaa wanalijua hilo) bali Hamad Rashid ni mtoto ambaye kwa Zanzibar hakuna sehemu nyengine ambayo anajuilikana ukiwatoa wanafamilia yake hapa Wawi. Sasa atawezaje kukivuruga Chama sehemu ambayo hakubaliki; watu wameamua 'kumpotezea' na ndio maana tangu siku alipofukuzwa kutoka katika CUF hujasikia Kiongozi yeyote wa Chama akimzungumza. Zaidi hua anajiuliza maswali na kujipatia majibu mwenyewe sambamba na kupiga picha za 'kujiuzisha sura' na kina Mtalii Kikwete na Mr. Pinda; wapenda sifa wenzake! Nadhani tayari uchizi unaanza kumnyemelea!! Chezea Wapemba weweeeee! Kama hamumjui Maalim muulizeni Salmini Amour, Masauni Yussuf Masauni, George Kizuguto na wengineo (wote wamekua wafu hai) lakini Simba wa nyika ndio kwanza anadunda huku akiisubiria kuiona kwa macho yake JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR iliyo HURU ambayo itazaliwa hivi karibuni Mungu akipenda.
Suali hili hakuna haja ya kulijibu Mtatiro, hata mimi naweza kukupatia majibu: Maalim Seif anatambulika Pemba yote na ni Mkombozi wa Wazanzibari (hata Raisi wako Kikwete na Padri wako Slaa wanalijua hilo) bali Hamad Rashid ni mtoto ambaye kwa Zanzibar hakuna sehemu nyengine ambayo anajuilikana ukiwatoa wanafamilia yake hapa Wawi. Sasa atawezaje kukivuruga Chama sehemu ambayo hakubaliki; watu wameamua 'kumpotezea' na ndio maana tangu siku alipofukuzwa kutoka katika CUF hujasikia Kiongozi yeyote wa Chama akimzungumza. Zaidi hua anajiuliza maswali na kujipatia majibu mwenyewe sambamba na kupiga picha za 'kujiuzisha sura' na kina Mtalii Kikwete na Mr. Pinda; wapenda sifa wenzake! Nadhani tayari uchizi unaanza kumnyemelea!! Chezea Wapemba weweeeee! Kama hamumjui Maalim muulizeni Salmini Amour, Masauni Yussuf Masauni, George Kizuguto na wengineo (wote wamekua wafu hai) lakini Simba wa nyika ndio kwanza anadunda huku akiisubiria kuiona kwa macho yake JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR iliyo HURU ambayo itazaliwa hivi karibuni Mungu akipenda.
Hongereni wana WAWI