HIVI MWAJUA MADAKTARI WOTE WALIOGOMA WANAWEZA KUACHA KAZI KWA WAKATI MMOJA? Au Kujiuzuru

Mbutunanga

Senior Member
Feb 15, 2011
182
45
NI kitu ambacho tunaweza fikiria kuwa hakiwezi tokea, lakini je kikitokea?

Tujitahadhari, tusipeleke mipasho kwenye taaluma na mbaya zaidi UWONGO, vinaweza sababisha hasira zisizo na sababu.
 
Wao ndio watakaoumia. Wajiuzulu halafu?
 
Hawana ubavu hao wa kuacha kazi na kwenda kwenye hizo wanazoziita green pastures. Mtu anayetaka green pastures hasubiri mgomo.
 
Kwa mtaji wa mipasho ile tuliosikia kwa Wazee wa CCM Darisalama ple ukumbi wa Diamond Jubilee, utulivu wa watumishi katika setka hii ya Afya kuboreshewa mazingira ya kazi bado ni ndoto kubwa.

Na wala sitoshangaa Mgomo ukifukuta uuuupya kwa misingi ya ile misimango ya mazungumzo yao faraghani kugeuka maneno ya kutumika tu mnadani.
 
NI kitu ambacho tunaweza fikiria kuwa hakiwezi tokea, lakini je kikitokea?

Tujitahadhari, tusipeleke mipasho kwenye taaluma na mbaya zaidi UWONGO, vinaweza sababisha hasira zisizo na sababu.

Waache mshahara wa tsh. 900,700/= kwa mwezi? Subutu. Labda wakiahidiwa kuajiriwa na CHADEMA, TAMWA au LHRC kwa sababu huko si wanalipwa soundi tu wanaridhika.
 
kwani private sector na NGOs zinawalipa kiasi gani hao madaktari?
 
Nachojisikia vibaya ni pale madokta wanaponekana kama ni wamipasho kumbe ni wana taaluma tena muhimu kwa taifa.
 
Back
Top Bottom