Tolea maelezo hii foto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tolea maelezo hii foto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Mar 12, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hapa namwona kama Membe anamshangaa sana halafu naona anajiuliza hivi huyu mtu amesoma wapi??huyo mzee mwingine simfahamu


   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania mwenye sifa na uzoefu wa kuongoza kuliko Rais yeyote wa kabla yake.

  Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake Tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya Utumishi wa Umma uliotukuka (Utawala Bora).

  Pia Kwa mara ya kwanza katika uongozi wake Tanzania imejipatia tuzo ya kimataifa ya TANZANIA YAPATA TUZO YA DUNIA YA AFYA,TEKNOLOJIA NA MAENDELEO.

  Hayajawahi kutokea kabla yake, Jee, niendeleze? aah, kwa sasa hivi zinawatosha, anzeni kupayuka.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Na nani anatoa hizo tuzo? Hivi nyumba ikipendeza anasifiwa aliyepaka rangi au aliyejenga?.....(NB kwa amafundi mpaka rangi ndio wa mwisho)
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nyingine hii:

  Tuzo ya Kimataifa ya Utalii

  Tuzo ya Kimataifa kuwa na Hoteli iliyo bora duniani.

  Daahhh, zipo nyingi tu wakati wake, wenye chuki mjinyonge!
  [​IMG]
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unatoa wewe, paka wewe rangi, jenga wewe. Ukweli unabaki kuwa ukweli.
   
 6. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,735
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  na tuzo ya mauaji ya raia bila hatia hawajampa?
  Na ya kutoa msamaha kwa mafisadi?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,586
  Likes Received: 4,693
  Trophy Points: 280
  Hiyo suti ni mojawapo ya zile alizohongwa na mwarabu.
   
 8. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf hivi huyu ndugu anayeitwa Ribosome ni nani? au anaweza kujitambulisha mwenyewe kwani simuelewi elevi vile?
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ungeanza kwa kuweka picha yako hapa tukaitolea maelezo kama hujakuta unadhalilika maana kila mtu anaeleza anavyooona yeye inafaa kama inavyotokea hapa kwa picha za JK.
   
 10. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hizo tuzo na 'uwezo wake' vimetusaidiaje watanzania?
   
 11. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ikulu kweli hapaongopi baba mwanahasha siku hizi amekuwa kama shombeshombe
   
 12. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Tuzo ya Rais mwoga kwa viongozi aliowateua mwenyewe Duniani ipo njiani,
  kazi kweli kweli
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mbona hiyo ni pozi ya kawaida JK anaposisitiza jambo?

   
 14. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tuzo ya kuuma na kupuliza ipo njiani. Muulizeni pinda atawaeleza.
   
 15. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuzo ya charger ya kobe inafuata taratibuuuuuuuu
   
 16. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tuzo ya rais wa kwanza kusafiri/kutalii zaidi duniani (Guiness World Book of records 26th edition page number 863)
   
 17. Dachr

  Dachr Senior Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TANGAZO:
  Jamani mimi ni Dr katika maswala ya akiri.in short Dr au tabibu wa machiz.Natangaza kupotelewa mgonjwa 1 wa akiri(chizi)kwa atakayekuwa na tarifa nae ajuze araka iwezekanavyo.anaitwa Ribosome.Nasubiri msaada wenu JF.
   
 18. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh... kazi kweli kweli, yaani kuna wakati mimi mwenyewe sijielewi kama nipo kwenye nchi ya maziwa na asali ilihali bado hakieleweki. Yaani nashangaa sana mtu mzima na akili zake anaposhabikia tuzo za kujinga kama hizi kwa rais ilihali hajui atakula wapi! Inatia aibu sana. Yaani rais anapewa tunzo ya utawala bora ndani ya nchi yenye vita vya kimya kimya kati ya wananchi wenyewe na serikali yao. Katika hali ngumu ya maisha kama yalivyo hivi sasa hapa Bongo mtu unaweza kushabikia tunzo za kipuuzi kweli? Mbona tunafanya mambo ambayo hayoneshi utashi na uwezo wetu wa kufikiri? Tunafanya hivi kwa faida ya nani? Mh... haya, siku zinakuja ambapo tufahamu mbivu na mbichi....napita tu....
   
Loading...