Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpita Njia, Mar 6, 2012.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pinda amekamilisha mkutano na waandishi wa habari hivi punde na meseji ya kubwa kwa madaktari ni kuwaambia kuwa serikali haiwezekani kushinikizwa na madaktari na kuwafukuza mawaziri Mponda na Nkya. Hivyo, kama wanataka kugoma, wagome tu
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yale yale namwaga mboga we unamwaga ugali
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huyu PM vipi? amesahau vitisho vyake vya mwanzo walivyoshindwa kufanya kazi baadaye akataka suluhu tena? kinaweza kutokea kitu cha ajabu sana .
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  haya haya haya !!mambo yameiva
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nilidhani ye hili suala lishamshinda...!!!!!
  Tunataka kauli ya JK.... ila tutachukulia kimya chake naye kama ndio kauli ya Pinda..
  WE'll move to plan B
   
 6. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yesu....tumekwisha
   
 7. h

  herimimi Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda anataka serikali ishinikizwe na nani ndipo wajiuzulu?
   
 8. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawa madaktari ni wajinga wanataka kuanzisha mchezo mbaya leo wao shinikizo lao likipitshwa kesho walimu pia watakuja na shinikizo lao sasa serikali gani? Mwisho utasikia na rais asipojiuzulu tunagoma bora wawapotezee tu
   
 9. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nampa siku tano tu..lazima atarudi na kauli nyingine tena akiwa mpole kama kamwagiwa maji..haya ndo matunda ya ccm!
   
 10. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ngoja nifanye mambo mengine maana hapa naweza kusema kitu ambacho nitajuta baadaye...!
   
 11. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huyu PM lazima ni mwehu, ina maana vifo vya wagonjwa vitakavyotokea sio tatizo sana kwake kama kuwakosa mponda na nkya? Hakuna mtoto wa mkulima yuko hivi, huyu ni mtoto wa Mwizi. Nguvu ya umma itawaondoa hao nyang'au
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pinda + j.k wanajua kabisa kuwa 99.9% ya mawaziri ni wabovu na hawafai so wanajua wakikubali shinikizo la madaktari la kuwafukuza Nkya na Mponda bas na mawaziri wengine watakua kwenye wakati mgumu sana kwani kila mfanyakazi na mwanaichi atagoma kushinikiza waziri husika ajiuzulu.
   
 13. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  pinda aunganishwe kwenye list ya kina nkya!!
   
 14. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mara ya kwanza alidanganya?naona hawa wanahitaji kafara kwa ajili ya uchaguzi wa arumeru............
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ndio Pinda kigeugeu lakini namkumbusha kwamba asiyategemee machozi yake katika hili,
  Japokua tunategemea uamuzi mwingine atakaoutao hivi punde kwani naamini Kikwete atamruka tu
   
 16. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hawa ndio viongozi wa Tanzania wanaojiita watoto wa masikini. Kasema hivi kwa sababu yeye anauhakika wa kutibiwa nje.

  Let us wait and we will see the end of this bad movie.
  Pamoja madakitari, Mungu awe nanyi katika hayo mapigano yenu nawaombeni msiyafanye ya kisiasa, fanyeni hivyo kwa manufaa ya wengi katika Tanzania iliyo yetu
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono mheshimiwa Pinda, wacha madaktari wagome.

  Kwani wakigoma anayeumia nani? si babu zao, bibi zao, shangazi zao ,kaka zao wa Namtumbo, Nachingwea, Tandahimba, Kilindi na Kahama?
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  umempa nyingi sana 2 tu zinamtosha
   
 19. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  In principle nakubaliana na madai ya madaktari juu ya maslahi yao.
  Hata hivyo wamejiingiza katika mtego wa kisiasa, kwa kutaka kushinikiza kujiuzulu wanasiasa.
  Thats dangerous.
  Mwanasiasa anaishi kwa kupiga domo, na juhudi zozote za kumuondoa kwa domo ni lazima zitapata upinzani mkubwa sana.
  Mbaya zaidi ni precedence ambayo madaktari wanataka kuiweka.
  Nawashauri waachane na wanasiasa na waendelee kudai maslahi yao.
   
 20. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  wewe acha kuropoka, unavyoongea its like madaktari wamekurupuka tu from usingizini na kuanza kudai hao mawaziri wafukuzwe?wakati ni kitu kilichokwepo kwenye makubaliano na serikali kimsingi iliahidi ingetekeleza dai hilo mpaka kufika tar 3march.
   
Loading...