Mwigulu Azungumzia Ushoga Jukwaani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Azungumzia Ushoga Jukwaani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MgungaMiba, Mar 12, 2012.

 1. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 890
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Mratibu wa Kampeni wa CCM, Bw Mwigulu, leo mjini Usa River alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake Bw Sioi Sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw Cammeron. Cha kujiuliza ni kuwa masuala hayo yanahusiana vipi na uchaguzi huu? Nini kilimsukuma kuongelea masuala hayo kipindi hiki?
   
 2. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  inadaiwa mgombea wa CCM Sioi Sumari ni "Elton John" anaweka heleni siko moja
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Labda nae aliwai pewa hayo masharti na wacamruni wa bongo....
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Dont tell me mkuu..real elton John.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kumbe na wao wameshajua Siyoi anakwanyuliwa. Ametoa tahadhari kwa Siyoi aache tabia ya kuwakonyeza wanaume pindi anapowashwa.
   
 6. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  magamba wanasema mgombea wa magwanda hajaoa kisa ni shoga.
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  watu wakiishia hoja kweli huleta vioja, jamaa ni wa 1985 nadhan...kama ni hivyo basi mashoga wengi sana mashoga
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mbali na Ngono Mwigulu ana hoja Gani?
   
 9. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Muulize wamefanywa nini wenzie pale Shades jana?
   
 10. K

  Koffie JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sasa weee chundu unatuuliza sie wakati wewe ndo ulikuwa unasikiliza? Msiwe mnaleta uzi wa kijinga kijinga kujaza nafasi tu apa,, eboo!
   
 11. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 890
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Naona umeelewa maana, ila imekuuma sana! (nimesema ni suala la kujiuliza, kwani kakosa ya kuongea mpaka azungumzie ushoga jukwaani?) Au inawezekana ameguswa na suala la kuambiwa na Godbless Lema kuwa mgombea wao katoga sikio kuvalia kihereni Kama huko kwa Cammeron? Maana hata Mkapa pia kalalamikia suala la kutoga sikio!
   
Loading...