Kwanini enzi zako hujawapa ardhi arumeru.MKAPA ACHA KUTUPIGA SOUND. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini enzi zako hujawapa ardhi arumeru.MKAPA ACHA KUTUPIGA SOUND.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by DALLAI LAMA, Mar 12, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Akiwa rais yeye ndo kawaleta wazungu wa maua,sasa atamshaurije jk kurejesha mashamba kama si anatudanganya na 2meshawazoea wakati wa kampeni? Mkapa tulia,ile zama zako za kutudanganya zishapita
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkapa kitabu cha ZAMA zako kishafungwa tulia.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ahadi nyingi za uongo.......walikuwa wapi siku zote wasifanye....
  Wameru chonde chonde.....muda wa upumbavu umepita......mpime muone mchele ni upi na chuya ni zipi......
   
 4. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mkapa kwanza wewe ndio uliyetufikisha hapa kwa hzo siasa zako tumekuchoka kaapembeni,mda wa kutudanganya ulishaisha.
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mzee wa watu anakampeni kwa kuwa wanamtisha kuwa akiiachia CDM ichukue nchi ajue na jela inamsubiri. Lakini mzigo wa kulibeba hili chama lisilobebeka ni aibu kubwa kwa Mkapa
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mkapa tunakukumbuka siku ile unafungua shule ya Akeri sekondari.
  Tunakumbuka tulofanyiwa na besti ako Kimaro pale madira.

  Wameru hatudanganyiki tena.

  Ukimuona Sioi, Mwiiye achore iyosi
   
 7. k

  kabuga Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alisha jenga ile daraja la Mbutu kule Igunga?
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nani ajenge daraja igunga? C alisema haya kama ya leo.Duh..mkapa.kila m2 mwerevu wakati huu,huna jipya,una2mika kama dodoki wakti ume2pa umaskini.a hate you realllly!!
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaaa!!!
  Mkapa is a big joke!
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi ni mkapa au mkopo?
   
Loading...