Uzinduzi wa kampeni a.mashariki aibu tupu kwa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kampeni a.mashariki aibu tupu kwa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GIB, Mar 12, 2012.

 1. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi kama walivyo watanzania wengine nilijongea kwenye kiwanja cha mpira USA ambapo kulikuwa una uzindizi wa kampeni wa chama choa.
  Kampeni ziliudhuriwa na viongozi mbalimbali wa magamba hayo. kulikuwa na majukwaa na nne jukwaa kuu, kushoto lilikua jukwa la wazee wa kimila walioonekana wamechoka kwashida nyingi na mawazo. Kulia yalikuwa majukwaa mawili la viongozi wa din na viongozi wa wilaya/mkoa.
  hotuba zilisomwa zakuwadangana wa a.mashariki.
  Aibu ilianza pale rais mstaafu Ben alipokuwa anaongea. Sikujua kama mzee huyu nanye kaishiwa sera. anaishia kutudangaya eti tumchague mbunge anayetokana na magamba kisa --- ? Mzee huyu anatumia point dhaifu sana kuelezea shida zinazotukabili sis wana a.mashariki. Akianza na maji anasema hilo niraisi kwani linausiana na pesa. Swali muda wote walikuwa wapi?
  shida ya pili mashamba yetu anasema kesi ipo mahakamani anaendelea kusema tuwaheshimu watu wenye haki miliki hata kama waeipata kifisadi ,jamani siaibu hiyo.
  Haikuishia hapo wakati akiendelea kuongea nilisikia nakuona minongono yachini kwa chini akabidi nitembee kuzunguka uwanja nijue kulikoni.
  pale uwanjani kulikuwa na magari zaidi ya natatu yenye spika kubwa ,lakini hayakutosha kwani watu walikua busy na mabo yao wakupiga story zakukikebei chama chao (gamba) wengine wakiunza maji na juice ilimrati vurugu' mzee huyu alipoona hivyo akabidi atuanzishie pambio eti : 'tunaimaaani ..........."mimi niliuchuna
  sasa hichi ndicho zaidi mzee huyu alimkaribisha sumari ,huyu jamaa badala ya kueleza atatufanyia nini anamtumbulisha mke wake ,huku sikukosa sera. sasa hii ndiyo komesha watu mimi nikiwa mmoja wao nilishidwa kuvumilia pumba alizokua akiongea taratibu tuliamua kujiondoa na na kumwacha uwanjani mwenyewe. kilicho nishangaza zaidi nikwamba watu wale waliokuwa uwanjani waliondoka wakionyesha alama ya vidole viwili wakisema peopleeeeees kwapamoja tukaitikia poweeeeeeeeeer.
  Naomba kuwakilisha.
  Source mimi mwenyewe
  Picha kesho asubuhi nitawaonyesha matukio yote.
  NAWASILISHA
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM ya watu, mwe ...!!! Naona ndio mdogo mdogo kaburini hivo.
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkapa anazeeka vibaya na akiendelea hivi atakuwa kichaa......
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pitia speling mkuu ufanye editing watakuja magamba kukushambulia kwa kuongea ukweli ambao hawaupendi.
   
 5. T

  THEO LYIMO Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli si unazi mi nilikuwepo kweli kuna wazee nilikuwa nao wakasema walikuwa waisamee ccm kama wange msikia sioi angeongea point da kweli jamani hali ilikuwa mbaya baada ya sioi kuongea
   
 6. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  ahaaaa naona unajifunza kuimba na kutunga taarabu kaka
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Basi ameanza vibaya kabisa, na kama hauziki hatauzika kwa namna yoyote!
  Amedoda huyo, na yale magari 40 ya FFU yaliyoingizwa Arusha na kupaki kule kwa Mromboo hayatasaidia kitu!
   
 8. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Njaa zitakuua,hutaki kusikia ukweli japo mchungu.Taratibu utazoea tu.
   
Loading...