Nasubiri kwa hamu sana filamu hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasubiri kwa hamu sana filamu hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 12, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Watanzania ni wazuri sana wa kuangalia filamu hasa zile za kigeni na hata pale ambapo lugha inakuwa haipandi tumekuwa tukitumbukiza maneno yetu wenyewe na kufanana kabisa kile kilichomo katika lugha ya kigeni kama ambavyo hivi sasa imezoeleka katika vibanda vya makuti na hasa katika jiji la Dar es Salaam.
  Na sasa kuna filamu inatengenezwa inayoonesha nchi ikiongozwa na Watu maarufu walioasi kutumikia Kanisa na kuchukua wake za watu, wahusika wengine wa filamu hiyo wanamiliki makasino, wengine ni wanamuziki na wengine Walikuwa wezi wa Maghari. Wapo pia wabuiya unga na wengine inasemekana ni kabla hawajawa Waheshimiwa walikuwa wahudumu wazuri nyakati za usiku. Tusubiri tuone filamu hiyo na jinsi ambavyo nchi hiyo inavyotawalika.

  Unaweza kutoa maoni yako jinsi unavyofikiria nchi hiyo ilivyo.
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nadhani unafikiria kwa kutumia ma.ka.li.oe!
   
Loading...