Wanameru kuweni makini mwingulu kamsifia mke wa sioi mzuri kazi kwenu

Salas

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
382
82
Katika mazingira yaku tatanisha ( utani)mwingulu alijikuta akimwambia mke wa mgombea wa CCM kuwa ni mrembo wa kuvutia, na ikumbukwe sifa za huyu jamaa kule igunga kwa upendo na umoja SIOI chunga mzigo mzigo wako huyo jamaa ni fataki papa. Pia katika kushindilia msumari wa moto sioi pia alimsifia mkewe jukwaani. Sasa wataalam wa mambo ya amri ya sita wanataadharisha sioi akaemkao wa tahadhari kwani mwinguli sio wa kumuwekea dhamana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom