Mkapa ndio mgombea ubunge arumeru??

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV.

NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAHAKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI ITS LIKE JAMAA NDO ANAJIPIGIA KAMPENI NA SIO KUMNADI BWANA MDOGO SUMARI. Whats the secret behind?
 
Back
Top Bottom