imevuja:kitongoji alichofikia mkapa huko arumeru hakina maji ya bomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

imevuja:kitongoji alichofikia mkapa huko arumeru hakina maji ya bomba

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jackbauer, Mar 12, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  katika uchunguzi wangu binafsi nimegundua kuwa mzee mkapa amefikia kwenye hotel ambayo haijaunganishwa kwenye ''gridi ya maji'' ya taifa.hapa namaanisha huo mtaa ambao viongozi kadhaa wamefikia kwa ajili ya kampeni arumeru mashariki hauna maji ya bomba.kwa wale mlioko arumeru mashariki jaribuni kwenda maeneo hayo na mjionee ukosefu wa huduma ya maji ya bomba.kila siku ni ahadi tu,mwisho wa siku hata wale watoa ahadi wanaumbuka.
   
Loading...