Baraza la Wanawake wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Bawacha),
limesema fursa za wanawake ngazi
mbalimbali za uongozi bado ni chache licha ya
maazimio kadhaa yaliyopitishwa kitaifa na...
Wana JF leo asb wakati naangalia TBC kipindi cha Maswali cha Bunge,mbunge wa Musoma mjini (Nyerere)aliuliza serikali imejipangaje kutatua tatizo la madawati nchini
Jibu likatoka kuwa serikali...
Poloniumhii ni zana inayotumiwa kumgeuza gamba aliyekufanya uitwe gamba
Kumwakyembeanani kutumia zana hiyo hapo juu kwa sababu hiyo hapo juu
Kukolibianani kuitwa kujieleza mbele ya vikao vya CCM...
Wadau,
Hatimaye Kampuni ya uingereza ya BAE imekubali kuilipa Tanzania kiasi cha pound milion 29.5 kama fine ya ile skendo ya rada ya mwaka 2002. Malipo yatafanywa kwa kununua vitabu na...
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia kwa Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki, Trasias Kagenzi, ikisema kuwa itakuwa tayari kutoa majibu ya rufaa ya Chama cha Demokrasia na...
kampeni za igunga zilipamba moto kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kampeni hii inatokana na chadema kuitafuta nafasi ya pili katika uchaguzi mpaka kufikia kutumia sh 600 millions, na hasa dhamira ya...
Nilichojifunza kutoka mgomo wa madaktari
Nkwazi Mhango
Kanada
INGAWA mgomo wa madaktari wa nchi nzima ni tukio lililosababisha vifo ambavyo si kazi ya Mungu bali serikali, kuna somo umetoa...
Waandishi Wetu
WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu
WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu, amekuwa akipambana na wenzake wizarani akitaka mradi wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam uliokwisha...
Nakushauri Mh Betty Machangu chukua fomu ugombee nafasi hiyo kwani una sifa na uwezo mkubwa sana kuliko aliyekuwepo sasa.
Nakufahamu vizuri sana utendaji wako tangu ukiwa kama mkuu wa wilaya ya...
Wanasema mgomo ulisababisha vifo vya watu 300 na madai ya kulipwa mshahara wa mil 3 ni jambo lisilowezekana. Pia itakuwa funzo kwa makundi mengine yanayojiamulia tu kugoma bila utaratibu.
Soma...
Nateseka, naumia na kukosa matumaini ya kufika mwaka 2015 ambao ndiyo fursa pekee ya kutua mzigo mzito unaotuelemea wa kiutawala. Hata hivyo, nguvu pekee inayoniwezesha kupata moyo wa uvumilivu ni...
Sielewi tuna sheria gani na kanunu za Uchaguzi. Mfano katika Uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika April Mosi katika Jimbo la Arumeru Mashariki, mmoja wa Wagombea amewekewa pingamizi na mgombea...
Jana niliona ktk kampeni za uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki,mgombea anaye peperusha bendera ya CDM bwana Nassari RATIBA alipangiwa kwenyw shule wakati wa wasomo na wanafunzi wakiwa wanajisomea na...
Tarehe 7 Mwezi August mwaka 2011, ITV walitangaza kuhusu unyama wa kutisha wanaofanyiwa wananchi wa Geita .Serikali imeshindwa kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la watu waliostahili kulipwa...
Tanzania: Question Lingers Whether the Poor Enjoy Health Services in Country
The Citizen (Dar es Salaam)
OPINION
4 December 2007
Posted to the web 4 December 2007
Dr Hamisi Kigwangalla...
Tulizoea kuambiwa wapinzani hawana sera kazi yao ni kupinga kila kitu na kutukana, lakini safari hii inashangaza kuona CCM na umahiri wake wote imekuwa ndio kinara wa matusi! Mfano, uzinduzi wa...
Ukombozi wa mtanzania utakuja pale kila mtu atakapoheshimu mawazo ya mwenzake na kuyakubali au kuyapinga kwa hoja na si kwa matusi.
Ni vigumu sana kwa mwanachama na shabiki wa CHADEMA kukubaliana...
Wanajamvi,SIKUAMINI LEO SAA 6 mchana pale kwa fundi Sadc sing'isi lori Scania la TOT lilikuwa limeish mafuta,nna uhakika coz nlisimama nkaulizia na kuthibitisha.JAMAA yangu wa karibu aliyepo uvccm...
Kwenye power breakfast kwenye dondoo za magazeti Mwigulu mchemba anasemekana amewaambia wakazi wa Mbuguni kwamba CHADEMA wamemwambia hawahitaji jimbo la Arumeru bali wanajenga Chama kitu ambacho...