Fedha chanzo cha kudorora kampeni ccm Arumeru mashariki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fedha chanzo cha kudorora kampeni ccm Arumeru mashariki.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by DALLAI LAMA, Mar 15, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi,SIKUAMINI LEO SAA 6 mchana pale kwa fundi Sadc sing'isi lori Scania la TOT lilikuwa limeish mafuta,nna uhakika coz nlisimama nkaulizia na kuthibitisha.JAMAA yangu wa karibu aliyepo uvccm wilaya kanieleza kuwa fungu la kampeni bado halijafika na hali ni mbaya huku wakiamini kuwa maji yameshawafika shingoni.KIDUMU CHAMA CHA Mufilisi
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwani EL hajakata fungu la kampeni kwa mkwe wake? Au naye ametoa harambee makanisani ameanza kufulia!
   
 3. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watakuwa wanasubiri matokeo ya rufaa.
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  CCM wanavyopenda sifa baada ya hii newz kujulikana watamalizia hasira kwa wahindi wakwepa kodi kuwatisha wachangie chama. Mwigulu yuko busy kuwala shemeji zake halafu kazi yake halisi ya kuhakikisha hazina ya chama ina hela inamshinda. Mbaya zaidi hata kidogo wanacho honga wananchi wanarudisha kuichangia CDM
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM hauwezi wafananisha CDM aka WAZEE WA SADAKA. CCM wana miradi yakutosha mingi tu inayowaingizia mamilioni ya pesa kwa mwezi, sasa CDM bila Kada wa CCM Sabodo kuwaokoa itakuwaje ?

   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  nitafurahi nikishkia kuwa hilo gari limelipuka.!
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  nchangieni NAIRA njitoe mhanga pembeni ya komba.
   
 8. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "Rostam"
   
Loading...