Kwa mujibu wa chombo kimoja cha habari hapa Uingereza ni kuwa document ya malipo kutoka BAE inasainiwa mweiz huu na baada ya siku 14 mshiko huo ungelipwa kwa Watanzania. Baadhi ya Wazungu wakatoa maoni kwa kejeli kuwa hizo fedha zitawekwa alafu zitarudi kwenye akaunti za Ulaya kwa sababu ya Ufisadi wa viongozi wetu. Mwingine kasema ana wasiwasi kama hizi fedha hazitaishia Ikulu japokuwa yeye katumia neno la (President's Palace) Kama kuna mtu anataarifa kuhusu kusainiwa hii document na mwenendo mzima wa malipo haya Tanzania atuhakikishie. Pia wazungu hao wakapiga dongo kuwa
" Si kampuni ndogo tu ambazo hucheleweshewa malipo yao bali hata tu - nchi tudogo kama Tanzania hucheleweshwa" Link hii hapa kuhusu kusainiwa uko. Maneno yenyewe haya hapa
[h=1]BAE Systems pays Tanzania compensation after two years[/h][h=2]
It's not just small companies that have problems getting paid on time, small countries do too. [/h]
The compensation deal with Tanzania (above) has been dogged by political problems ever since BAE agreed to pay it two years ago.
By
Jonathan Russell
7:08PM GMT 01 Feb 2012
2 Comments
Two years since BAE agreed to compensate Tanzania for the £30m air traffic control system it sold the country, and a year since the deal was rubber-stamped at Southwark Crown Court, the arms manufacturer is to pay up.
A question in the House of Commons by Labour MP Hugh Bayley has revealed that BAE is to expected to sign a memorandum of understanding with the Government of Tanzania this month about the £30m payment.
The full sum will become due 14 days after the document is signed.
The compensation deal has been dogged by political problems ever since BAE agreed to pay it.
After being found guilty of false accounting the company set up a panel to determine who should receive the money. Political pressure led BAE to consult the Department for International Development to mediate the payment.
Signing the £29.5m cheque will bring to an end an unhappy period in BAE's recent history. Corruption probes on both sides of the Atlantic saw the company pay fines of nearly £300m.
Serious Fraud Office director Richard Alderman welcomed the news saying he was "looking forward to the speedy resolution of this matter".
BAE Systems pays Tanzania compensation after two years - Telegraph
Mweiz huu huu wadau fuatilieni na tupige kelele na ikiwezekana fedha hizo serikali imalizane na Madaktari