Kudorora kwa kampeni ya Arumeru sababu CUF haipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kudorora kwa kampeni ya Arumeru sababu CUF haipo?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mkigoma, Mar 15, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kampeni za igunga zilipamba moto kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kampeni hii inatokana na chadema kuitafuta nafasi ya pili katika uchaguzi mpaka kufikia kutumia sh 600 millions, na hasa dhamira ya chadema huwa ni kuishinda cuf sio CCM, na hii ndio imepelekea kukosekana ushindani baada ya cuf kujitoa, je ni kwa sababu ya kuogopa kampeni zinazofanywa ndani ya nyumba za ibada na vyama hivi hususani makanisani? au ni kuogopa kupoteza pesa? hii imepelekea chadema kujihakikishia nafasi ya pili, tunawaomba cuf msiogope kuingia katika chaguzi kwa kuogopa siasa za UDINI, waelimisheni wanainchi watawaelewa tu.
   
 2. A

  Awo JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Just for the sake of it!
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tukiwaambie nyie CUF ni mke wa CCM tutakuwa tunakosea? Mnachojua ni kupambana na CDM na si CCM.Ama kweli nyie ni CCM B
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Watu wana shughuli zao huko.... huwezi mpata mtu alhamisi.
   
 5. p

  propagandist Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cuf inapigwa vita na mfumo kirisito
   
 6. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Umeanguka kutoka kwenye mti gani .
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ujinga hauna ujazo.
   
 8. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,389
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  wana arumeru hawategemei uongozi kuendelea.hawawezi kuacha kazi na kwenda kusikiliza porojo za wanasiasa.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mmewakilishwa na waume zenu, au wameenda bila kuwaambia?
   
 10. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani chadema washinde Arumeru wachagga wapo wengi?
   
 11. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  silaha waliyobakia nayo ni wachagga kupigia kura chama cha nyumbani, kanisa limegawanyika.
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani ccm washinde arumeru kuna njaa hadi wagawe mahindi?
   
 13. N

  N series Senior Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio mparachichi kweli huo mkuu???????????
   
Loading...