NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Nateseka, naumia na kukosa matumaini ya kufika mwaka 2015 ambao ndiyo fursa pekee ya kutua mzigo mzito unaotuelemea wa kiutawala. Hata hivyo, nguvu pekee inayoniwezesha kupata moyo wa uvumilivu ni pale ninapokumbuka kuwa kura zangu kwa vipindi vyote viwili vya uchaguzi sikumpigia rais aliyepo madarakani. Kwa hiyo, sijilaumu.