CCM wakosa watu nkoamansa ni kweli kabisa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wakosa watu nkoamansa ni kweli kabisa leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THEO LYIMO, Mar 15, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf nipo hapa nkoamansa watu hawajaja kabisa kwani hakuna watu hata 50 jamani hali ni hatari sina camera mngeona
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ngoja tumsubiri Nape aje kujibu. lakini hizi taarifa jitahidini kuzibalance, na CHADEMA wakikosa watu pia muwe mnatuambia. Msilete za upande mmoja tu. Hata hivyo muda bado, labda watakuja baadaye kidogo.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huo ni mwanzo tu
   
 4. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Magari yapo njiani yanawaleta wanachi hapo!Msihofu!
   
 5. H

  Haika JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Saa hizi bado mapema pia jaribu kuwa balanced na fair
   
 6. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  mkuu nikuulize technical question!pale nmc arusha chadema wanajaza mpaka hakuna kusogeza mguu,makadirio yangu yasiyo ya kitaalam tuseme laki 2!lakini uzini jimbo zima lina wapiga kura 6000!je kwa idadi ya wakazi wa eneo hilo figure tarajiwa ni watu wangapi na wamekuja wangapi kwa makadirio tu!
   
 7. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  HAWAJATOA KOFIA,KANGA NA TSHIRT.Wamegoma.Nani anapenda picha na bendera zao.Sio wameru.wazee ndo hao kila mmja anatoa baraka kwa jamaa waCHADEMAna baraka hazitolewi mara 2. bro cdm
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  HIVI HAMJUI WAHUZURIAJI WENGI WA MIKUTANO YA CCM HUBEBWA BA MALORI KUPELEKWA UWANJANI???????/ WAKATI WA CHADEMA HUMWAGIKA WENYEWE BILA KULAZIMISHWA,KUHONGWA,KURUBUNIWA, KUSHAWISHIWA,VIJISENTI,CHAI,TAKRIMA ETC

  Naunga mkono hoja hapo chini kwa asilimia mia ya mia
  Hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania. Hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kuiongoza, ilimradi awe na jeshi tu.
   
 9. s

  shykwanza Senior Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kupiga yowe hapa funguka kiukweli CCM leo imefunika mbaya kwani mgombea wake amepokelewa kwa maandamano na shwangwe kubwa kutoka wakazi wa sehem hiyo huku wakiimba Chadema tuacheni na CCM yetu nendeni na vurugu zenu.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naombea iwe kweli na hali hiyo iendelee ktk mikutano yao yote.
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  tumia simu ya mchina
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Siuzuriagi mikutano ya sisiemu!!
   
 13. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kigumu Chama!!! Tuwekee picha basi
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mwenzetu unasema hayo ukiwa unataka tuamini u mwanachama au mshabiki wa chama gani?Kama hawako watu wengi je ni saa ya mkutano au wewe uliwahi?
   
 15. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hata boda boda wamekosa pesa za kuwalipa?? wanasubiria tar 25 warudishe nguvu tena huko..Muda tunao...I promise Nassari..i am coming there this month after my viziti in ZanzibaR
   
 16. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yule jamaa wa ToT amekwenda kujifungua nini? Kwani leo ToT hawapo?
   
 17. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Acha ujinga funguka!!!!!
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Acha kutoka povu
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Itakura kwao mwaka huu
   
 20. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  LORI LA TOT LILIISHIWA MAFUTA katika eneo la kwa fundi sing'isi karibu na SADC,duh aibu,nililiona saa 6 mchana.naskia hakuna fungu na makada pesa wamegoma kupeperusha mabendera na kukampeni bila NAIRA.hali yao kifedha ni mbaya
   
Loading...