Misamiati mipya na hatari ya CCM kuhusu jinsi ya kulinda ulaji binafsi

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Poloniumhii ni zana inayotumiwa kumgeuza gamba aliyekufanya uitwe gamba
Kumwakyembeanani kutumia zana hiyo hapo juu kwa sababu hiyo hapo juu
Kukolibianani kuitwa kujieleza mbele ya vikao vya CCM na kudedishwa hapo hapo
Kusokoineanani kuuawa kutokana na kuonekana kuwa tishio la ulaji wa wengine
Kubalalianani kuuawa baada ya kutumiwa na wakubwa kuibia Benki kuu ili kuficha ushahidi
Kukombeanani kuuawa baada ya kutumiwa bila wewe kujijua
Kumwaikamboanani kuuawa baada ya kuwa kikwazo kwa wakubwa kuchota pesa kwenye idara au ofisiyako
Kuchifupianani kuuawa baada ya kutaka kufichua siri za biashara ya unga
Kudoktariomarijumanani kuuawa ili kuepuka kuchukua nafasi ya bosi wako na kuwanyima walioikamia
Kumalimanani kuuawa baada ya kuonyesha ambitions za kuwazidi wenzio kete.
Wataalamuongezeni nyingine hasa za kutapeliana kama vile kuwa chaguo la Mungu, Kipenzicha watu nk.
 
Back
Top Bottom