Juma Bundala
Member
- Mar 9, 2012
- 71
- 5
Jana niliona ktk kampeni za uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki,mgombea anaye peperusha bendera ya CDM bwana Nassari RATIBA alipangiwa kwenyw shule wakati wa wasomo na wanafunzi wakiwa wanajisomea na walimu wanafundisha ratiba inaisha ndani ya muda wa masomo,jamani huo ni Ufisadi unaofanywa na TUME ya uchaguzi ili kusaidia Chama TAWALA,kampeni zote za mgombea wa CCM zinapangwa mahali sahihi na muda sahihi,Je tume ya uchaguzi ni ya CCM au ni chombo cha serikali,kama ni chombo cha serikali siami. Naomba mchango wenu wana JF kuhusu hili.