Lowassa kuanza kampeni wiki ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa kuanza kampeni wiki ijayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Mar 16, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa watu walio karibu na Lowassa zimedai kuwa Mbunge huyo wa Monduli, wiki ijayo ataanza rasmi kumpigia kampeni za nguvu mgombea waChama cha Mapinduzi (CCM), Sioi Sumari, mara baada ya kurudi kutoka Ifaraka atakakohudhuria sherehe za kumsimika rasmi askofu wa jimbo jipya la Ifaraka la kanisa Katoliki, Salitarus Libena, Machi 19, mwaka huu.

  Imedaiwa kuwa Lowassa ataendesha kampeni akipita kila kata za jimbo la Arumeru Mashariki,katika kile kilichoelezwa ni kuhakikisha kuwa mgombea huyo wa CCM ambaye ameoa mtoto wa mbunge huyo, Pamela Lowassa, anashinda katika uchaguzi huo.

  MY TAKE Aangalie asiropoke kama Mkapa.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  OK, tutajua kama vijana wa kimeru ni vuvuzela au ni watu wa maana
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Anaenda tena Ifakara na tulisikia kwamba hatakiwi tena kule???
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mbona NEC wanampango wa kumfuta Siyoi wiki ijayo mapema? ... i think..
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Why next week and not tomorrow?waache kuchakachua katiba!!
   
 6. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu huna habari pingamizi limeshatupwa.
   
 7. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mmmmhhh sidhani,ya kaisari anampa kaisari na ya mungu anampa mungu!
   
 8. a

  abujarir Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani mh.lowasa atasafisha hali ya hewa hapo arumeru,ambayo imewakuta ccm
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  You were joking, right?
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  aangalie asijeakalipuliwa kama Mkapa, mana kuna mwakyembe na mwandosya wanaomuhusu
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Labda hapa tutapima uwezo wake tena; lakini vile vile kama kwa Mkapa atakaposimama ajue kabisa na yeye ni target vile vile. Swali kubwa ni je CDM inaweza kumshambulia EL au itamuonesha heshima?
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nna hamu na ***** wa huyo fisadi
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakuna asiyemfahamu EL alivyo na ushawishi mkubwa. CDM msiignore
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chadema hawana ubavu wa kumvaa Lowassa
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mwanasiasa aliye na nguvu na ushawishi mkubwa kwa sasa ndani ya Tanzania hii ni Lowasa! Kajipanga vizuri sana kwenye kila nyanja.
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kama wameru ni waroho wa pesa za kifisadi basi kauli yako ina ukweli maana EL ni sabuni ya roho ya pesa za kifisadi,
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tena ushawishi mkubwa sana................. Na hali ilivyo ni kama vile EL anakubalika na wengi wa huko kwao!!
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mtabaki na hiyo mentality kuwa Lowasa ni fisadi..
  Wameru wanamkubali Lowassa. He is their hero!
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hawana ubavu kiaje??
  Kwani kampeni ni pesa au sera?
  Kwa Arusha Lowasa hana chake huku si km sehemu nyingine arifu....kisiasa Arusha iko next level
   
 20. p

  propagandist Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EL ataongea na malegwainan tarehe 25/ 03/012
   
Loading...