Lema awatupia Kombora Wabunge wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema awatupia Kombora Wabunge wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Mar 17, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF jana katika mikutano ya kampeni za Ubunge katika Jimbo la Arumeru Masahariki kata ya Maji ya chai,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amewataka Wabunge wa CCM wakae Arumeru kutafuta Kura na sio kulala Arusha Mjini na kuendeleza vitendo vya Ukahaba kwani haimpendezi Mungu na pia hapendi kuonda akina dada wanatumiwa kwa Umaskini wao kudhalilishwa utu wao kwa kununuliwa na Wabunge hao ambao ambao wanalipana posho kubwa za kampeni zinazotokana na kodi zetu,kudhalilisha dada zetu,huku akishangiliwa na Umati wa watu amesema kama wakiendelea atawataja kwa Majina na hoteli wanazolala,pia ameonya polisi kuwasindikiza na kuwapa ulinzi mkubwa wabunge wa CCM katika majumba ya starehe hadi usiku wa manane huku wakiacha kulinda walipa kodi wanaonyanyaswa na vibaka
   
 2. E

  Eunda Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wape habari zao kaka na ikibidi waanike hewani tuwazomee. Sipendi ili jina CCM na watu waliomo! Manake kirefu chake kinafit majina yote ya uozo kuanzia CHAMA CHA MAFISADI, CHAMA CHA MAJAMBAZI, CHAMA CHA MAFISI, CHUKUA CHAKO MAPEMA etc.
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Haya! Tupo tayari kusikia mengi mpaka mshindi atakapotangazwa.
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kamanda wasipoacha peleka red briged ikadeal nao
   
 5. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wakumbushe kuna mmoja aliumbuka Morogoro akivinjari na dada poa, kilichomsibu taifa linajua..CCM ni nouma
   
 6. c

  collezione JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Duh, hii kali
   
 7. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Hana mpya!angekuwa mjanja angemtetea kiongozi wake jana hapa jamvini siyo mpaka kaokolewa na huruma ya mod!chadema weupe........wepesi!hawana mpya
   
 8. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  umesahau CHAMA CHA MAUAJI.
   
 9. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nitafurahi sana nitakapo sikia kuwa Dada poa wa Arusha wamemwingiza mmoja wao mjini na kumwibia kama walivyo mfanya yule Waziri wao kule Morogoro
   
 10. K

  Konya JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hii ndio siasa bwana
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa CCM ni viwavi wanaolitafuna taifa letu.
   
 12. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,506
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  Wapi malima na smg yake
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mfalme wa ngono sasa kawa Juma Nkamia
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hapa sio facebook, majungu ya kilofa yarudishe huko huko au mpigie simu mzee yusuph ili muimbe nae tarabu.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Dah! Jamani yupo wapi yule Mnyarwanda mwenye kiuno namba nane?
  Mwambieni atoke Morogoro aje Arumeru kuna watu wana hela huku!
   
Loading...