Hatima ya taifa na fikra za kibwanyenye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatima ya taifa na fikra za kibwanyenye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juma Hamis, Mar 17, 2012.

 1. J

  Juma Hamis Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni nchi inayopatikana barani Afrika,ni nchi yenye rasilimali nyingi za kila aina,ni nchi yenye idadi kubwa ya watu,ni nchi yenye makabila mengi,ni nchi yenye viongozi wezina mafisadi,ni nchi yenye watu wazembe wa kufanya kazi,ni nchi ya watu walio wengi wapenda kusikia mambo ya uongo kutoka kwa viongozi wao,ni nchi yenye watu waliowepesi wa kusahahu hata mambo yanayohatariaha maisha yao na hatima ya taifa lao,nchi yenye washabiki wa kutumia hisia na si nguvu ya hoja na uchambuzi,ni nchi ya watu wanaolewana kwenye mambo ambayo hayana tija na kutofautiana kwenye mambo yenye tija na ni nchi iliyohatari kwa kuwa na raia wote wakiwa ni wanasiasa.

  Naomba nifupishe aya yangu ya kwanza kwa kubaini haya kuwa ni hatari sana kuona watu ambao wanatuhumiwa na ufisadi na ufirisi wa taifa letu wakiwa wanasema wako tayari kwa mapambano hasa kwa kuanza na wanchi wa Arumeru,jimbo hili katika jamii iliyoukana wizi,rushwa na ufisasi ingetoa fundisho kwa fisadi huyu kwa kuonyesha kuwa haki lazima hushinda,lakini sijui ni kwa kiasi gani watu wa Arumeru wamejipanga kumsurubu fisadi huyu,na kama kijana huyu wa CCM si fisadi ni bora akakanusha uhusiano wake wa kisiasa na fisadi huyu ili walau wananchi wawe walau na imani ndogo na kijana ambaye amahusishwa na tuhuma za ufisadina na rushwa wakati wa kampeni za maoni.

  Wakati mwingine unaewzakusema kuwa kuishi Tanzani ni kuishi kwenye taifa lilizama kwenye tamsilia zito ya kufikrika au watu wake wako mapumziko ya kufikri,kwa mfano ajenda ya Vicent nyerere na Mkapa imekuwa ajenda kukuu na kusahau wanafunzi ambao wanakaa chini kwa nusu karne sasa,vita ya ufisadi tuliyonayo,vifo nvya watoto na akina mama majumbani na mahospitalini bila kupata huduma bora ya afya,kuanguka kwa uchumi wetu,uwekezaji usio na tija hususani kwenye madini na ardhi yetu kwa sasa,kushuka kwa kiwango cha elimu nchini,hatima ya walimu walio kwenye mgomo baridi.
   
Loading...