Takukuru fanyeni haraka hapo jua kali sa ivi ccm wanagawa hela kwa viongozi wa vikundi nkoaranga 35 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takukuru fanyeni haraka hapo jua kali sa ivi ccm wanagawa hela kwa viongozi wa vikundi nkoaranga 35

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THEO LYIMO, Mar 16, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jf naomba mtusaidie hawa takukuru wapo wapi kwani hapo jua kali sa ivi viongozi wa vikundi vya kina mama nkoaranga ambapo kila kikundi kina viongozi watatu na vipo vikundi 35 wanagawiwa pesa kwa ajili ya kuaandaa mkutano na kuhimiza watu waje pale nkoamansa ambapo wananchi waligoma kuja kuja jana sasa sijui wana jf msaidia aje john mrema nimemweleza lakini ufuatiliaji kwani hapa nkoaranga hawaitaki ccm kabisa paka viongozi hizi habari ni za kweli
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Takukuru wana simu namba 113 kwa dharura kama hii.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kama wanatoa rushwa kwanini msiwazomee na kuwatimua? Tangu lini TAKUKURU imewahi kuwakamata watu kwa rushwa ya uchaguzi na wakaenda mahakamani na kushinda?
   
 4. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizo zote ni tasisi za ccm
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,567
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu wameagizwa wale CCM wakalale Chadema!
   
Loading...