Hivi msajiri wa vyama vya siasa Anateuliwa au anachaguliwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi msajiri wa vyama vya siasa Anateuliwa au anachaguliwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Mar 16, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wadau napenda kufahamu msajiri wa vyama vya siasa nchini anapatikanaje naona utendahi wake unanitia mashaka kama wa PM wetu. Ni kama roboti linalokwenda kwa remote toka magogoni.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Anateuliwa na Rais. Hawezi kuondolewa kirahisi. Ana 'security of tenure' kama majaji.
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndo maana anamkingia kifua boss wake akiye uchi
   
Loading...