Tendwa awapiga stop BWM na Vicent kumzunguzia mwl Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa awapiga stop BWM na Vicent kumzunguzia mwl Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Mar 16, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Baada ua mtu mzima kuumbuka Tendwa aamua kumvika nguo kwa kuwapiga marufuku kumzungumzia mwl kuwa itajenga chuki na ikisapotiwa na Steven Wasira.

  My take

  Tendwa nae ni janga la kitaifa
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wajinga bora wakae kimya maana tayari wameumbuka
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  wanakumbuka shuka kumekucha??
   
 4. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  amepiga marufuku au amewaomba? Anamamlaka ya kumzuia mtu kusema anachoamini?(kikatiba na kisheria) na je huku si kuingilia uhuru wa kutoa maoni? This country bwana sijui who z who....
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tendwa kawaje? Hawa wazee si wapumzike kwa Amani?
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yaani Tendwa anamkingia kifua MUUAJI wa BABA WA TAIFA!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ana mamlaka gani ya kupiga marufuku "wanafamilia" kuongelea issues zao walizoanzisha wenyewe?
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tendwa ni nani mpaka atoe amri hiyo?
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tendwa anataka kuyachafua upya mambo?
   
 10. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huyo tendwa ana mamlaka gani ya kumzuia mtu kuzungumzia jambo fulani. Ama na yeye ana hamu ya kutendwa!
   
 11. B

  Baba C Senior Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na hilo kaagizwa na wazee wa kishili pia?
   
 12. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama anatumika, basi Tendwa is just like a Robot !
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Waliopigwa stop ni hao wawili tu au watu wote hata sisi humu JF, halafu ni kwenye kampeni tu au hata nje ya kampeni maana ninavyojua yeye ana dili na vyama vya siasa pekee, sidhani kama ana mamlaka hayo ingekuwa mahakama sawa lakini hata yenyewe in mipaka yake.
   
 14. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tendwa anatakiwa ajue kauli zake ni petroli kwenye moto so bora akae kimya
   
 15. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Tendwa anatakiwa awataje wauaji alioongea nao nakusema watamuua Mh. Lema pindi afikapo Arumeru ili wachukuliwe hatua za kisheria kwa kupanga mauaji, na pia kama kiongozi mlezi wa vyama vya siasa baada ya kupata habari hizo na yeye mwenyewe kuzitoa, amechukua hatua gani wakati akiona kabisa kuna uvunjifu wa amani unaotaka kutokea?
  Sasa hivi ndio anazinduka tangu yale mapombe makali aliyokuwa anabwia kule AR.
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kubabako zako tendwa kweli ni Disaster hapa nchini, Mkapa aliyatibua mwenyewe sasa ya nn we unamkingia kifua, kwani yale ya kusema eti wazee wa kimila hawamtaki lema haikijenga chuki? Kufumbia macho propaganda za udini igunga yote ulikuwa huyaoni? Sasa mwache mkapa anywe aliyoyakoroga.
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Na sisi tutampiga marufuku kuzungumzia mambo ya vyama vya siasa!
   
 18. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu nae hana MORAL AUTHORITY ya kuwapiga watu marufuku
   
 19. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Natamani mimi ningekuwa Vincent Nyerere Tendwa angeona nyekundu tupu.
  Amkanye BWM kuropoka hovyo, ameshushuliwa sasa wanatafuta pakumhifadhi dogo kaweka wazi kifo cha MWL kina mkono wa mtu na BWM anahusika kazi kweli kweli
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,684
  Trophy Points: 280
  Mi huwa namwona Tendwa kama tarishi hivi amekaa kama bwabwa tu....sasa tamko gani hili analotoa mtu mzima wa umri kama wake?
   
Loading...