Siyoi asema atawaombea ajira watu wa Arumeru kwenye chuo cha Nelson Mandela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siyoi asema atawaombea ajira watu wa Arumeru kwenye chuo cha Nelson Mandela

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Setuba Noel, Mar 17, 2012.

 1. S

  Setuba Noel JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilimwona na kumsikia akitoa ahadi hiyo jana kwenye taarifa ya habari ya TBC. Kwamba atazungumza na uongozi wa chuo cha Nelson Mandela ili kiwapatie ajira vijana wa Arumeru! Kwa mtazamo huu kutoka kwa mtu tunayeambiwa ni msomi, ni bora kumchagua mmachinga tu au hata mchuuzi wa pale soko la Tengeru! Hicho chuo kinaweza kutoa ajira ngapi? Na kumbe anadhani chuo kinatoa ajira kwa maombi ya mbunge na si kutokana na kuwepo nafasi za kazi na sharti mwenye kutaka kazi aombe mwenyewe. Fikra duni kabisa. Maajabu hayeshi duniani, nasubiri mshangao wa kuona huyu jamaa akishinda ubunge!
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ajira ipi anaweza kuwapatia wameru wote Chuo kikuu cha Mandela? Kweli Bangi humfanya mtu awe jasiri. Walikuwepo wameru wasomi kama akina Profesa Talala Mbise, walishindwa kuwasaidia, sasa huyu mkenya atatumia mbinu gani kuwasaidia!
   
 3. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bangi mbaya sana
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ganja bhana
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wrong move Siyoi.
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndo wakikuyu wa kenya walivyo
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu inabidi uwe ni mnafki,mpenda kujipendekeza,mwenye uelewa mdogo ili uweze kua supporter wa c.c.m,eti atawaombea wana arumeru ajira,au nae anazungumzia zile aina ya ajira 1.M alizoahidi J.K
   
 8. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hahahah atawaombea ulecture pale na wengne watakuwa head of department.ila kama wanaomsikiliza ni wajinga mbona wanakubali.
   
 9. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wameru watakuwa maprofesa wa chuo, watakuwa Wahadhiri, Watakuwa wahasibu! Nassari atawahamasisha Wameru wasome ktk chuo hicho
   
 10. paty

  paty JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160

  ha ha ha ha ha hii pumba nliisikia, huyu jamaa ni sifuri aisee,
   
 11. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo Ha2fai kwa ubunge kwani hajui ukubwa wa tatizo
   
 12. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kashindwa marehemu baba yake kuwatafutia ajira,sembuse huyu ndumu mtu!bange zinamfanya aropoke!ganja bhana
   
 13. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wakikuyu wakishakula miraa yao basi wao ni kumwaga pumba tu
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Duh! nimeipenda hiyo..!
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hoja ya ajira kwa vijana imeasisiwa na Lowassa. Sasa huyu bwana mdogo anadhihirisha hana jipya zaidi ya kuwa dalali wa Lowassa! Kwa akili za kawaida tu chuo cha Nelson Mandela hakiwezi kuwa solution ya ajira kwa vijana Arumeru. Hiki chuo ni mahsusi kwa ajili mambo ya ICT na ni initiative ya Mzee Mandela (sio serikali ya Tanzania). Hata hivyo ni vijana wangapi Arumeru wenye utaalam kwenye mambo ya ICT? Na hizi nafasi za ajira ni ngapi?

  Kwa nia njema kabisa namshauri Sioi aanze kusimama kwa miguu yake mwenyewe. He has to be his own man. Haimpi heshma hata kidogo kama atakuwa anaimba nyimbo za baba mkwe. Na hapa ndipo linakuja swali, wazo la kugombea ubunge lilikuwa lake yeye Sioi au mtu mwingine? You can not live someone else's dream!
   
 16. a

  amenyamana Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kali lakini kwa sababu huku tz ni rahisi kuwadanganya na wakadanganyika alichosema siyoi ni sawa
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ngoja nihamie Arumeru huko ajira nje nje
   
 18. P

  Praff Senior Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahadi hewa hizo, it is better to remain silent rather than giving un implementable promises.
   
 19. k

  kev Senior Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi chuo cha nelson mandela ni chuo cha kata?huyu jamaa ana uwezo wa kufanya mabomba ya maji yatoe kisusio badala ya maji.na kujenga flyover kwenye mlima meru.
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Anaota bado huyu teena mchana kweupee!hata convincing power hana,he is not a politician.
   
Loading...