Arumeru mashariki:huu ustaarabu wa kuchapa watu viboko vipi!

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
wanabodi Jana nilikwenda Arusha kwa shughuli zangu binafsi. nilikutana na marafiki zangu flani mitaa ya Usa River. wakati tunajadili mambo yetu na badhi ya vijana pale USA tukagusia kidogo swala la Uchaguzi wa Arumeru kwani naamini kuwa siasa ni kila kitu kwenye nchi hii. Likatokea kundi la vijana wakaanza kutuchapa fimbo kila mahali wanapoona! niligundua kuwa ni Vijana wa Kikosi maalumu cha CCM ambacho kinaendesha vitendo hivyo vya kikatili kwa wananchi. Nilienda kuripoti polisi lakini cha ajabu polisi walituangalia tu bila hata kuhoji hayo matukio yanatokea wapi na hata RB tulinyimwa kwa kuitwa wazushi na waongo.
Je! ikifika wakati wa chaguzi ndo nchi inakuwa hivi?
Hivi CCM wanadhani watatuwala milele?

Ifikie hatua sasa kuonewa na kunyanyaswa ifike tamati. tuchukueni hatua ! hii kauli ya CDM tunasema kuwa wao wana fedha sisi tuna Mungu halafu tunaacha tunyanyasika hivi huu ni Ujinga. Mungu ndio tunaye lakini Hata mungu hataki vijana wachovu. NA DECLARE WAR. ama zao ama zangu. niungeni mkono bado nipo ARUMERU mtasikia tukio la kusikitisha muda sio mrefu kuanzia leo. na litakuwa la Maafa I swear! siwezi kuchapwa vile kama punda mimi!
 
Habari ndiyo hiyo sasa,pole sana kama unawapiga poa 2 ila usiue ndugu yangu,na wameru watachapwaje na wakati nasikia wao wakali sana ,kwani chadema hawana kikosi kama cha green?
 
Kwa ufisadi wa Slaa na mchumba wwake ndani ya CDM, bora CCM itawale milele
 
Kwa ufisadi wa Slaa na mchumba wwake ndani ya CDM, bora CCM itawale milele
CCM ni chama kitakachofutwa kwenye orodha ya vyama vya siasa na hili wala halina miaka mingi kuja kutokea, na kama unadhani huu ni mzaha Chungulia hapo Zambia uone chama kilichokuwa kinatawala Zambia mpaka mwaka jana kimefanywaje!

Chama cha Rupia Banda kimefutwa rasmi kwenye orodha ya msajili wa vyama vya siasa vya Zambia na kamwe hamuwezi kutuondowa kwenye mjadala wa mauwaji ya Baba wa Taifa. mtajibeba mwaka huu.
 
Kwa ufisadi wa Slaa na mchumba wwake ndani ya CDM, bora CCM itawale milele

na wewe shoga mbona huachi kuwashwa? CDM na CCM vinatuchosha sisi. Ni ni mpango wenu ku shift attention za watu na ugumu na maisha ili waanze kujadili uharo wenu. Mods ni vema kuwa strategy ya kuirejesha JF iwe kama zamani. Iwe weak leak ili hata wanaijifungua kuchua rushwa tuwaone. Na nadhani Dr Slaa hata kama ni member usijibu kila kitu hapa CCM haiwezi jisafisha kwa kupandikiza hawa wachumia tumbo kwenye mitandao. CCM irudi kwa watu iikemee serikali itumikie wananchi, ilete maisha bora kama ahadi kwenye kampeni zao. Slaa hawezi chafuliwa kihivo mtu msafi ni msafi tu. Hata kama hawezi kuwa malaika kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote hv udhaifu wa JK kama tukiurange nani atapata maksi nyingi za madhaifu? Tujadili masuala ya msingi.
 
Kama kitendo cha DR Slaa kufichua ufisadi unafanywa na CCM kwa vielelezo bila kupitia mikutano mbalimbali ya hadhara Ni ufisadi nafikiri sasa tunahitaji tupate maana kamili ya UFISADI!CCM Acheni tuhuma za kutunga!
 
Back
Top Bottom