Wanajamvi, pamoja na kwamba ,mimi binafsi navutiwa na chadema lakini bado natishwa namna umakini katika kukiimarisha chama.
Chadema kimekuwa kikionyesha umakini katika mambo yale yanayovuma...
Nikiwa nimepumzika nikiwaza hili na lile juu ya uovu wa CCM kwa nchi yetu TZ,
na jinsi juhudi zinazochukuliwa na watawala ktk kushughulikia ufirauni wa CCM,
ghafla nikajikuta nakikumbuka hiki...
WaAfrocaribean na watu wenye asili ya Africa wanaokaa nchi za ulaya na America huwa wanaamini kuwa wazungu waliwatawala kwa kutumia wililin chip, yaani mtu mweusi alikuwa analazimishwa kuamini...
Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up...
WaAfrocaribean na watu wenye asili ya Africa wanaokaa nchi za ulaya na America huwa wanaamini kuwa wazungu waliwatawala kwa kutumia wililin chip, yaani mtu mweusi alikuwa analazimishwa kuamini...
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, akiungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana, baada ya kurejea akitokea nchini Ujerumani...
Taarifa ambazo zimefika hivi punde, CCM kupitia UVCCM ikiratibiwa na James Millya (Mwenyekiti-UVCCM, Mkoa Arusha) ameingiza majasusi ambao wameletwa kwa kazi kuu ya kuhakikisha vurugu, vipigo na...
juzi msemaji wa tanesco alisema kuwa kwa sasa mabwawa yote ya kuzalisha nguvu za umeme yamejaa,hivyo kwasasa mgao umekwisha.cha ajabu toka jana huku maeneo yote ya temeke umeme unakatwa toka saa...
Hivi kama kweli Mkapa alikuwa karibu sana na Nyerere - kama anavyotaka watu waamini - alifanya nini katika kuijenga na kuiunga mkono taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa miaka yake kumi alipokuwa Rais...
Vip ahadi alizohaidi mwaka 2010 km flying over, mabasi ya kwenda kasi, treni na kuifumua reli yote ya kati, kilimo kwanza, meli maziwa makuu nk
Na arumeru kawatania atafanyaje vile
Wakuu siku hizi mbili kumekuwa na ukame wa picha za kampeni humu jamvini.Nimeziona kwenye uzi wa www.mjengwablog.com Mwenye uwezo wa kuzileta hapa atuletee,maana magamba wasije wakapata visingizio
Kuna habari kuwa wakenya wamefunga mpaka na kuzuia magari yote yanayoingye Nchini Kenya,habari zenye
utata mkubwa ni kuwa wakenya hao wamefunga mpaka kwa kutumia magari makubwa semi...
Kampeni za udiwani zinazoendelea kata mbalimbali nchini zimezidi kupamba moto, kuku Mwanza CDM wamewadhihirishia magamba kuwa hawana lolote. awali magamba wamefanya hujuma cdm wasiutumie uwanja wa...
Vita ya uenyekiti UWT inaendelea. Baada ya Mama Kilango kudaiwa kuendesha kikao cha siri na wenyeviti wa UWT mikoa na wilaya na kuwakatia pesa, sasa Mama Kilango ajitokeza na kujibu mapigo...
Wana JF leo chama cha Mapinduzi CCM kitafanya mkutano wake katika Kata ya Kikatiti na kunadi Sera zake,
Leo asb katikawanja hicho hicho CHADEMA wamefanya mkutano wao Mkubwa na Kuondoka,nimebaki...