CCM kujaribu karata yao kikatiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kujaribu karata yao kikatiti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Mar 17, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF leo chama cha Mapinduzi CCM kitafanya mkutano wake katika Kata ya Kikatiti na kunadi Sera zake,
  Leo asb katikawanja hicho hicho CHADEMA wamefanya mkutano wao Mkubwa na Kuondoka,nimebaki hapa kuendelea kupata nakutoa Taarifa
  Ni mimi Mgosi,Mgeni wenu kutoka JF
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  safi sana
   
 3. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Picha vipi kamanda
   
 4. n

  nkundaruwa Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepita hapo muda mfupi tu ulopita nikaona pikipiki zimefungwa bendera za kijani
   
 5. kinganola

  kinganola Senior Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vijana wanapewa buku 30,chadema pkpk ni kujitolea na wanafunika kama kawa...
  Kula CCM kalale Chadema...
   
Loading...