Mgogoro mpaka waTanzania na Kenya eneo la TAVETA

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kuna habari kuwa wakenya wamefunga mpaka na kuzuia magari yote yanayoingye Nchini Kenya,habari zenye
utata mkubwa ni kuwa wakenya hao wamefunga mpaka kwa kutumia magari makubwa semi trailars.awatendewi haki

Madai yao ni kuwa hawatendewi haki waingiapo TZ ,na wanatoleshwa ushuru wa dola 200 za kima wa rekani wakati wenzao waKiTZ hawalipi hela hiyo.
Je hizi dola mia mbili zinaingia serikalini au ni ule uzoefu wa kupata chochote ili uvuke mpaka ? Na sasa zinataka kutokea puani.
 
Mkulima amepata soko la uhakika Kenya,sisi wenyewe kwa fikra finyu na njaa zetu za kipumbavu tunavuruga mambo. Where is the leadership? Who wili provide leadership?
 
Sasa na wagonjwa wao watafanyaje maana tunawapokea hapa Mawenzi na kule KCMC! Kuna wale wa kutoka Mambasa waloziba niniliu mtaalamu yuko Moshi nani atawasaidia?
 
Kuna habari kuwa wakenya wamefunga mpaka na kuzuia magari yote yanayoingye Nchini Kenya,habari zenye
utata mkubwa ni kuwa wakenya hao wamefunga mpaka kwa kutumia magari makubwa semi trailars.awatendewi haki

Madai yao ni kuwa hawatendewi haki waingiapo TZ ,na wanatoleshwa ushuru wa dola 200 za kima wa rekani wakati wenzao waKiTZ hawalipi hela hiyo.
Je hizi dola mia mbili zinaingia serikalini au ni ule uzoefu wa kupata chochote ili uvuke mpaka ? Na sasa zinataka kutokea puani.
Huu mgogoro ulianza tangu wiki iliyopita. tatizo ni ongezeko la malipo ambayo malori kutoka Kenya yanatakiwa kulipa yanapoingia Tanzania.
Anyway, Mkuu Mwiba, mbona ulipotea sana?
 
mimi niliposikia kuna vita nikatungua gwanda langu na kusafisha gobore langu tayari kwenda frontline kutetea taifa kumbe ni mgomo na utata wa kulipana rushwa hapo mpakani?? heading should match with the body!!
 
Sasa na wagonjwa wao watafanyaje maana tunawapokea hapa Mawenzi na kule KCMC! Kuna wale wa kutoka Mambasa waloziba niniliu mtaalamu yuko Moshi nani atawasaidia?
Mkuu, wa kutoka Mombasa wameziba niniliu gani?! Hebu fafanua hapo vizuri tuelewe...!!
 
Nimetizama taarifa kuhusu mzozo huu KTN tv jana(makala inaendelea leo). Malori, mengi ni semi trailer yanavuka mpaka tupu kuchukua mazao Tanzania, jamani anayefaidi si mkulima Mtanzania. Viongozi wetu kwa hili for once provide leadership.
 
Sitta ulijipeleka Namanga au ulikuwa unaenda Arusha kuendelea kujipendekeza kwa wasio kutaka?
 
Wakenya hawana uwezo wa kupigana vita na watz, uwezo wao umeishia kwa al shababu na mungiki...hata hivyo, hilo ni tatizo dogo sana kwa east africa....hakuna siku hata moja kenya and tz watapigana...kupigana ni uamuzi unaochukua busara na tafakari nzito,si haraka haraka tu.
 
Kule si walishapandisha bendera ya kenya? Sasa mpaka upi tena?

Mpaka ulistahili kuwa himo
 
mimi niliposikia kuna vita nikatungua gwanda langu na kusafisha gobore langu tayari kwenda frontline kutetea taifa kumbe ni mgomo na utata wa kulipana rushwa hapo mpakani?? heading should match with the body!!

Mkuu hata mimi heading ya thread ilishanichanganya sana. Habari zote sijui za u-CCM, u-CHADEMA, u-Yanga, u-Simba, n.k. zilitoweka nikabaki na wazo moja tu - TANGANYIKA YANGU. Kisha nikakumbuka Force Number yangu ya JKT (Mafinga chini ya CO Mlai). Mwisho kilichonitia hasira zaidi ni kwamba eneo tajwa ndipo yalipo makaburi ya babu zangu toka enzi. Wakati naendelea ku- peruse labda order imetoka kwenda kupambana na "nduli" yule, ooooops, kumbe mwanzisha thread ka-exagarate.

Mungu apishe mbali tuishi kwa amani na majirani zetu. Na tunapo-post thread humu JF tuweke heading zetu vizuri jamani na zi-reflect content badala ya kutupandisha presha bila sababu.
 
Kuna habari kuwa wakenya wamefunga mpaka na kuzuia magari yote yanayoingye Nchini Kenya,habari zenye
utata mkubwa ni kuwa wakenya hao wamefunga mpaka kwa kutumia magari makubwa semi trailars.awatendewi haki

Madai yao ni kuwa hawatendewi haki waingiapo TZ ,na wanatoleshwa ushuru wa dola 200 za kima wa rekani wakati wenzao waKiTZ hawalipi hela hiyo.
Je hizi dola mia mbili zinaingia serikalini au ni ule uzoefu wa kupata chochote ili uvuke mpaka ? Na sasa zinataka kutokea puani.

Kuna haja ya Serikali zote za Nchi majirani katika mipaka kuangalia na kujadili kwa makini matatizo haya. Mahusiano yaliyopo mipakani baina ya nchi na nchi kwa kiasi kikubwa si mazuri hasa mipaka ya Kenya na Tanzania. Pale namanga nilikuta mgogoro mkubwa kiasi cha kufikia mahala Wakenya kutukana na kudai ni bora EAC ivunjwe ,kisa Tanzania tumezuia chakula kuuzwa Kenya huku watu wao wakifa njaa.
 
Back
Top Bottom