Kampeni za CHADEMA leo Katika picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za CHADEMA leo Katika picha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plato, Mar 16, 2012.

  1. Plato

    Plato JF-Expert Member

    #1
    Mar 16, 2012
    Joined: Aug 28, 2010
    Messages: 421
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 33
    Wakuu siku hizi mbili kumekuwa na ukame wa picha za kampeni humu jamvini.Nimeziona kwenye uzi wa www.mjengwablog.com Mwenye uwezo wa kuzileta hapa atuletee,maana magamba wasije wakapata visingizio
     
  2. Superman

    Superman JF-Expert Member

    #2
    Mar 16, 2012
    Joined: Mar 31, 2007
    Messages: 5,698
    Likes Received: 86
    Trophy Points: 145
    [​IMG]​


    Mgombea wa CHADEMA Bwana Joshua Nassari akihutubia mamia ya wananchi leo jioni maeneo ya Ngarenanyuki.Ameendelea na kampeni leo baada ya kusitisha jana kwa ajili ya kufiwa na baba mdogo wake
     
  3. Superman

    Superman JF-Expert Member

    #3
    Mar 16, 2012
    Joined: Mar 31, 2007
    Messages: 5,698
    Likes Received: 86
    Trophy Points: 145
    [​IMG]​


    Nassari alipokuwa akiondoka kwenye viwanja vya mkutano ngarenanyuki akiwashika mkono wananchi huku akiwa na Vincent Nyerere,meneja mwenza wa kampeni
     
  4. jogi

    jogi JF-Expert Member

    #4
    Mar 16, 2012
    Joined: Sep 25, 2010
    Messages: 12,905
    Likes Received: 5,771
    Trophy Points: 280
    Picha zinaongea kwa sauti kubwa, atakayejaribu kuchakachua matokeo tutamtenganisha mwili na roho yake kila kimoja kiishi kivyake kwa ukiwa.
     
  5. TITAN

    TITAN JF-Expert Member

    #5
    Mar 16, 2012
    Joined: Dec 13, 2010
    Messages: 309
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    All the best Kijana, Mungu atakusaidia
     
  6. KirilOriginal

    KirilOriginal JF-Expert Member

    #6
    Mar 16, 2012
    Joined: Feb 13, 2012
    Messages: 1,761
    Likes Received: 204
    Trophy Points: 160
    Viva CHADEMA
     
  7. Duble Chris

    Duble Chris JF-Expert Member

    #7
    Mar 16, 2012
    Joined: May 28, 2011
    Messages: 3,490
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 135
    huu mziki 2015 utanoga zaidi issue ni kwamba kwa sasa hawataki kuandikisha wapiga kura wapya
     
  8. M

    Mr.Busta JF-Expert Member

    #8
    Mar 16, 2012
    Joined: Mar 24, 2011
    Messages: 673
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 35
    sawa kabisa!
     
  9. k

    kamanda mkuu Member

    #9
    Mar 16, 2012
    Joined: Aug 5, 2011
    Messages: 15
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    safari hii lazima kieleweke na ole wenu ccm mchakachue arumeru itageuka kuwa mbeya au zaidi ya mbeya:lock1:
     
  10. KASHOROBANA

    KASHOROBANA JF-Expert Member

    #10
    Mar 16, 2012
    Joined: Jul 30, 2011
    Messages: 3,250
    Likes Received: 405
    Trophy Points: 180
    wana arumeru msituangushe bunge letu limechangamka na kutuvutia kwa sababu ya uwepo wa changamoto za vijana wa chadema, mpeni kura za kumwaga za ndiyo bwana nasari atatutetea uyu kijana, kumchagua mkwe wa fisadi el, fisadi la richmond (aka richard wa monduli) siyoi ni kulikabidhi taifa kwa mafisadi pia kulirudisha taifa nyuma na kuwasaliti watanzania wenzenu tunaotaabika ktk lindi la umaskini uliotokana na ufisadi wa el (baba mkwe wake siyoi)
     
  11. TUMBIRI

    TUMBIRI JF-Expert Member

    #11
    Mar 16, 2012
    Joined: May 7, 2011
    Messages: 1,934
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 0
    Hivi kumbe blog ya mjengwa nayo inahusika!
     
  12. KASHOROBANA

    KASHOROBANA JF-Expert Member

    #12
    Mar 16, 2012
    Joined: Jul 30, 2011
    Messages: 3,250
    Likes Received: 405
    Trophy Points: 180
    inahusika na nini wewe???
     
  13. Narubongo

    Narubongo JF-Expert Member

    #13
    Mar 16, 2012
    Joined: Nov 3, 2010
    Messages: 1,922
    Likes Received: 22
    Trophy Points: 135
    potezea
     
  14. TUMBIRI

    TUMBIRI JF-Expert Member

    #14
    Mar 16, 2012
    Joined: May 7, 2011
    Messages: 1,934
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 0
    Nadhani umenielewa nilichokuwa namaanisha!
     
  15. bibikuku

    bibikuku JF-Expert Member

    #15
    Mar 17, 2012
    Joined: Feb 16, 2011
    Messages: 826
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 35
    wewe mwenyewe hujaelewa ulichokuwa ukiandika, unategemea sisi wasomaji ndo tuelewe???
     
  16. Babuu blessed

    Babuu blessed JF-Expert Member

    #16
    Mar 17, 2012
    Joined: Oct 14, 2010
    Messages: 1,277
    Likes Received: 34
    Trophy Points: 145
    leo ndio umetambua na jina lako la ajabu usijekuta sura yako kialisiha upo kama 2mbili anatisha afadhali ya nyani
     
  17. saliel

    saliel Member

    #17
    Mar 17, 2012
    Joined: Apr 11, 2011
    Messages: 82
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    m2 mmoja kama elfu moja peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeess
     
  18. Loading

    Loading JF-Expert Member

    #18
    Mar 17, 2012
    Joined: Feb 10, 2012
    Messages: 594
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 35
    mh mi sifagilii maisha ya mtu najifagilia mwenyewe...!!!!!! Kampeni kwa baadhi ya sisi wasomaji hazitusaidii na wala hatuna time nazo, tunawafagilia mkipata hayo madaraka inakuwa ndo basi tena mtanikoma...fuc******!

    Ni bora nijue zangu 50....!!
     
  19. MNYISANZU

    MNYISANZU JF-Expert Member

    #19
    Mar 17, 2012
    Joined: Oct 21, 2011
    Messages: 7,051
    Likes Received: 26
    Trophy Points: 145
    Hii ni TSUNAMI kwa kweli. Kwa hali hii CCM lazima wasombwe na Tsunami na kufia mbali kabisa.
     
  20. m

    mgeni wenu JF-Expert Member

    #20
    Mar 17, 2012
    Joined: Jan 2, 2012
    Messages: 3,669
    Likes Received: 614
    Trophy Points: 280
    Kaaz kwei kwei
     
Loading...