Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete safarini Marekani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Mar 16, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,689
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  kuna taarifa tumepata kuwa mkuu wetu wa nchi atasafiri mwezi ujao kuelekea kwa mkuu Obama kuhudhuria siku ya Arbor day!

  Arbor Day 2012 - Apr 27, 2012
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 2,968
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Wabillah Tawfiq!
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,571
  Likes Received: 3,357
  Trophy Points: 280
  Jakaya Mrisho Safarinyingi akirudi ataongea na wadada Jubilee...
   
 4. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eeh Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema, tunaomba uendelee tukutuongoza, maana huyu huku hana habari kabisa. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amen
   
 5. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkwerè kwa Kujipendekeza hajambo. Zee zima kurandaranda nchi za watu haoni aibu.
   
 6. K

  Kiti JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nchi iko kwenye AUTOPILOT
   
 7. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Natamani tungeweza kujimobilise, kwenda airport cku hiyo nyomi ya kutosha tukamzuia pale, na irushwe LIVE na vyombo vya kimataifa.labda angebadilika
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,397
  Likes Received: 2,201
  Trophy Points: 280
  atakuwa na issue zake huko nje
  ndiyo maana home hapakaliki.
   
 9. B

  BINARY NO JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh...nchi ishauzwa kwa wamarekani......ingefaa km kuna ulazima amuachie na makamu wa Rais hizo safari coz hatuoni role za VP...tunaona jinsi viongoz wa nchi mbalimbali wanavyowakilishwa na wasaidizi wao sasa huu uroho wa per-diem ni za nini kwa kiongozi mmoja kila kitu wewe sometime mdeligate na makamu wako ata kwa mambo magumu itafaa kwani itaondoa kinyongo na kazi zitafanywa kwa moyo mmoja otherwise utaachiwa zigo ukomaae nalo pekee....mcheza kwao utuzwa......Deligate wasaidizi wako mf VP,PM na mabalozi hii itajenga heshima kwako na kwao pia jifunze mgomo wa madaktari jinsi PM alivyodharirishwa as if ni sanamu.....Badilika bana kwani na umri nao umeenda so umeona mengi hakuna jipya usilolifahamu....inflation rate inatuua uku mikoani cement ndo usiseme as if hatuna viongozi
   
 10. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda anaenda kuomba nyongeza ya pesa aliyowaahidi madaktari... pamoja na kunyoosha viungo*
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 498
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  WTF is arbor day???
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,557
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Au keshaanza kufikiria maisha baada ya Urais...ataishi vipi,na wapi!
  Mwinyi,Dar...haya,Mkapa,kaogopa usumbufu na kero za mjini,solution...Lushoto, Kikwete,??.....

  Labda ndiyo huko ughaibuni....!
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,967
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mwenye kujua jamani atujuze wengine kwn tupo gizani!

  Tuna hasara sana na chama cha mauaji iliyoko madarakani.
   
 14. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,468
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :behindsofa:
   
 15. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongo mtupu!
   
 16. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ndio naisikia leo ila ukifungua link pale chini kwenye postya mleta habari utaona historia yake...habari za kupanda miti n.k
   
 17. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,014
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii inaleta mantiki.
   
 18. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Shughuli zingine za kuwakilishwa na balozi tu, lakini mkulu anatia maguu mwenyewe, basi mama mwanaidi majaar, arudi home tu. Halafu raha ya kumtembelea mtu naye akutembelee, siyo kila siku wewe tu, wakikuchoka hawakwambii baba.
   
 19. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hamuombi ushahidi?
   
 20. MSOROPOGAS

  MSOROPOGAS Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  thanx, arbor day ndo nini jamani mwenzio ndo kwanza naisikia!:thinking:
   
Loading...