Chadema kata ya kirumba balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kata ya kirumba balaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PRISCUS JR, Mar 17, 2012.

 1. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kampeni za udiwani zinazoendelea kata mbalimbali nchini zimezidi kupamba moto, kuku Mwanza CDM wamewadhihirishia magamba kuwa hawana lolote. awali magamba wamefanya hujuma cdm wasiutumie uwanja wa magomeni hivyo imesababisha cdm kupeleka mkutano wao eneo la kabuhoro kirumba, ni mbali na pafinyu lakini watu hawakujali wamekuja wa kutosha. natumia simu wakuu. pata picha hiyo View attachment 49555 View attachment 49556 View attachment 49557 View attachment 49558
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wapi picha mkuu?
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hahahahaha wapi picha sasa na wewe aghhhhh
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCM walichinja ng'ombe Kirumba kwenye birthday yao...Lakini watu wa Mwanza hawakula..na walikuwa wanahusisha na imani za kishirikina kuwa wakizila tu zile nyama wataipenda CCM ilibidi watu wasombwe kwa malori toka vijijini ili waje wazinusuru nyama zisimwagwe.
   
Loading...